Recent content by Mbaasam

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya: TANESCO yakata umeme kuokoa maisha ya mtu aliepanda juu ya nguzo ya njia kuu ya umeme

    Write your reply...Kama kungekuwa na option ya kusambaza umeme na mm ndo muhusika mbona ningemkausha huyo... mtu kachoka hataki kuishi uchumi wa kati nyie mnamlazmisha
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu na JamiiForums

    Kama unatosha basi mtoa mada ana lake
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume naomba mnisaidie hapa

    Si bora huyo anaekuhakikishia kila wiki kuwa anakupenda kuliko hawa kila baada ya dakika tano anakuambia anakupenda ikitimia wiki na mapenzi yameisha
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu na JamiiForums

    Sahihi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume jueni ukweli huu ya wanawake utawasaidia

    Hizi zote porojo tu! Wanaume wanzangu kitu pekee tunachotakiwa kujua kuhusu wanawake ni kuwa wanapenda pesa ..
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu na JamiiForums

    Uko sahihi mkuu jmaa wana akili unaweza kukuta mtu anajichetua lkn katika uchetukaji wake kuna ujumbe pia ndani yake
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake hawapendi wanaume wenye mapenzi ya dhati?

    Huwezi kuwakaumu wanawake hawa kumbuka mama yao ndo alikuwa tatzo pale bustanini hivyo uongo kwao ndo Mali hao
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu na JamiiForums

    Kw maelezo yako ya kutufokea nimejifunza kitu kimoja kuwa humu wapo wakina Hannah tu kwahiyo wanahitajika wakina Anna ili kuwasaidia hawa jamaa waliokufundisha hizi tabia na wao wabadilike
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lissu kuidanganya Mahakama mpaka kesi kuahirishwa, Sheria itamuadhibu vipi?

    Yup Yupo kama mende
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge Mwenzetu alilipia ukumbi wa kura za Maoni akashinda

    Wasitufokee..! Wapeleke lawama zao kw wajumbe
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA ni lazima ioneshe mshikamano juu ya mgombea mmoja, Lissu awe Waziri Mkuu

    Hahah... Awe waziri mkuu wa nchi gani? Hebu weka wazi hapa uwaziri huo wapi kati ya kule Wcb, Mnzese kW Madee au insta kw Mwijaku
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kumpata Zuchu kwaajili ya Show ni Tsh Million ishirini kwa show moja! Je show zake zina thamani hii?

    Apo kuna ubaya gani si fresh tu hujagharamia hta mia unataka upewe 75% itawezekana vp
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kumpata Zuchu kwaajili ya Show ni Tsh Million ishirini kwa show moja! Je show zake zina thamani hii?

    Nyie ndo Nyie ndo akili hamna... kwani nini maana ya kusimamiwa? kaka lazima ieleweke hii ni mikataba sina ufahamu sana kuhusu mikataba ila ufahamu wngu wa awali tu mkataba ni makubaliano kati yenu so una hiyari ya kukubali au kukataa so sioni tatzo kwa wcb kumiliki msanii na kila kitu chake...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Dah! Kw mkoani nafikir ni ngumu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa 'vitu used'

    KW azizi Ali mkuu
Back
Top Bottom