Bado siamini kama Iryne anaweza kua na mchepuko, i think the woman is tricking insider to see his reaction; Iryn sio mjinga, fikiria ana appointment na mwanaume mwingine this time halafu kamuachia simu baba wa mtoto wake mtarajiwa, sio mjinga hivyo. Again, ni suala la muda tu, Mary nae ataliwa...
Kama wanavyo umia Walibya leo, wanavyo umia Syria, Iraq na Iran leo; au wazungu tu ndio huaga watu, watu wa race nyingine kwa definition yako sio watu, is that what you mean? Ngoja niende mbali zaidi, unafahamu wakati wa UBAGUZI wa rangi kule Africa kusini, weusi wenzetu wameteswa HASA na...
Hakuna sehemu nimesema USA ni boya, nimesema todate, tumemjua nani mbabe wa hi dunia. Fulani kua mbabe zaidi ya mwingine haina maana huyo anae zidiwa ni BOYA.
Historia ni SOMO jepesi sana jamani, hutumii akili yeyote kulisoma, yaani unajisomea tu bila hata msaada wa mwalimu. Nakumbuka nikiwa O level, nilikua nahudhuria darasani form 1 na form 2 tu baasi, form 3 sijawahi kuingia darasana kumsikiliza mwalimu, again form 4 sidhani kama nilizidisha zaidi...
Tangu nimeanza kujitambua, USA hajawahi kupigana na nchi yeyote duniani halafu hiyo vita AKASHINDA; hakuna; alipeleka majeshi yake Vietnam alipigwa vizuri tu na ikabaki kama kashfa kwake todate, majeshi yake pia yaliwahi kupigwa vizuri tu hapa hapa Arica, SOMALIA (though ile haikua VITA ). Iraq...
Nakushauri usiende kichwa kichwa kuwekeza kwenye hiyo biashara; kakae kwa muda kidogo ujiridhishe, ikibiti tafuta hata vibarua kwao ili upate experience, ukienda na fedha zako kuwekeza haraka haraka utapigwa ushangae. Ushauri hu ni kwa wale tu wanao taka kwenda kufanya biashara ya DHAHABU huko...
Wabongo tumejijengea TABIA ya kulalamika na kukosoa kila kitu, halafu wakosoaji wengi wala hawajagi na solution; we need to change this kind of behavior
Kuna ushahidi wowote unao onesha kwamba Urusi ililazimisha nchi yeyote kuufuata UJAMAA!? Nijuavyo, tulifuata UJAMAA kwasababu ya historia yetu wenyewe; tusimsingizie mtu kwa matatizo yetu; hatukushishikiwa bunduki kama tunavyo shikiwa sasa hivi. Imagine leo tunaambiwa turuhusu SERA za ushoga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.