Recent content by Maziabi Salum

  1. Maziabi Salum

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Andika barua kwa mkuu wa wilaya yako ukimweleza kusudio/ombi la kutaka kumiliki Silaha ya Moto, kwenye barua hiyo umCC Mwenyekiti Seikali ya mtaa wako na afisa mtendaji wa kata yako, Utaratibu Utajadiliwa na kamati ya ulinzi ya mtaa,Kata na ya wilaya, ukikidhi vigezo unapewa kibali cha kwenda...
  2. Maziabi Salum

  3. Maziabi Salum

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa IFM adhalilishwa na Walinzi wa Ikulu kisa kupiga picha maeneo ya ikulu

    Utekelezaji wa Majukumu yao ? au Utekelezaji wa Maagizo kwao ?
  4. Maziabi Salum

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa IFM adhalilishwa na Walinzi wa Ikulu kisa kupiga picha maeneo ya ikulu

    Acha, Acha, Fikiria kimantiki. Mii nishachapwa makofi na makirikiri hao, kwa kosa la kupita Upande wa kulia mwa Ikulu nikielekea kumuona Mama yangu mdogo Ocean Road Hospital nikitokea kivukoni stand, hakuna kibao cha maelekezo, hakuna kuelimishwa alafu ni watoto tu kwa umri wangu wa miaka 45
  5. Maziabi Salum

    JamiiForums Tanzania Nyumba za kupanga: Kama mpangaji hayupo kwa muda mrefu asilazimishwe kulipia huduma ambazo hajazitumia

    Na Umeme wa nje !!! Unaolinda Mali zako za ndani ya chumba
  6. Maziabi Salum

    JamiiForums Tanzania Nyumba za kupanga: Kama mpangaji hayupo kwa muda mrefu asilazimishwe kulipia huduma ambazo hajazitumia

    Taa za nje (za usalama) ambazo zilitumika kulinda Mali zake anapaswa kuzichangia Ila Si kwa kiwango sawa na waliokuwepo
  7. Maziabi Salum

    JamiiForums Tanzania Dar: Polisi yaua Majambazi 6 na kukamata silaha kadhaa zikiwemo AK 47 tatu na Risasi 217

    Mii ninacho jiuliza mbona kama kuna story mbili HIVI ! 1.Walikamatwa majambazi watatu tabata wakawachoma wenzao 2.Majambazi yaliouwawa ni 6, Je, wale watatu mbona taarifa zao hazina muendelezo ? au ndio wakati wanawapeleka Polisi kwa wenzao wakatoa ishara kama ile ya Mwanza *Shemejiii*...
  8. Maziabi Salum

    JamiiForums Tanzania Dudu Baya ashtakiwe kwa kosa la udhalilishaji

    Alafu wanaoonekana wakosefu ni Bottom tu ( Wangese ) vipi kuhusu Top, nao watapimwa nn kuelekea kwenye Haki kuonekana kutendeka ?
  9. Maziabi Salum

    JamiiForums Tanzania Dudu Baya ashtakiwe kwa kosa la udhalilishaji

    "" Uzoefu toka kwa ma Basha "" Mabasha wengi awali walikuwa Wangese hasa wale wenye asili ya kijela jela au Ubaharia Sitaki kuamini na the Dudu nae ni miongoni mwa hao
  10. Maziabi Salum

    JamiiForums Tanzania Kumiliki simu ya TECNO kuna raha zake bwana!

    Umehifadhi ka Amber Rutty kako kwa matumizi ya familia Mara Pap, kapo Instagram, Facebook au Jamii forum
  11. Maziabi Salum

    JamiiForums Tanzania Dudu Baya ashtakiwe kwa kosa la udhalilishaji

    You're right ndugu, pale Mwananyamala 'A' nyuma ya Pub Ras
  12. Maziabi Salum

    JamiiForums Tanzania RC Makonda amjibu Dudubaya kuhusu kutaja mashoga, amtaka atulie kwanza

    Double standard on law, huyu anafundishwa sheria yule anaelekezwa sheria
  13. Maziabi Salum

    JamiiForums Tanzania Wasabato, hii kitu ina maana gani?

    Unaonekana kama Unajibu lako, kama ingekuwa hiyo unayotaka simple rectangular ungeweza kuhoji kwa nn isiwe T ? Kifupi mii ni muislam ila nimelelewa ktk Ukristo (Roma) Ktk kipindi hiki kigumu kwa familia,ndugu, Jamaa na Marafiki wa Gamba tafuta mada itakayo tufariji isiyo na chembe ya *DHIHAKA*
  14. Maziabi Salum

    JamiiForums Tanzania Wasabato, hii kitu ina maana gani?

    Mbona iko WAZI ni ktk namna ya kufanikisha pa kuandika majina ya Gamba lini alizaliwa na kufariki, familia imependezwa na namna T, ingeweza kuwa hata X, H,P,K au hata Duara Shortly haina uhusiano na dhehebu la Sabato kama Ulivyosema Usilete Ubabaifu wala Usijitoe fahamu
  15. Maziabi Salum

    JamiiForums Tanzania Wamasai waishio Ngorongoro wataendelea kuteseka mpaka lini??

    WeWere Well's n ct
Back
Top Bottom