Recent content by Maze runner

  1. Maze runner

    JamiiForums Tanzania Kwa haya wanayotufanyia CCM kuna uwezekano mkubwa wa kuwag'oa 2025 lakini sio kwa chama chetu CHADEMA au ACT Wazalendo

    Umoja party? Tunahitaji farmers coalition/development party🤝🤝🤝
  2. Maze runner

    JamiiForums Tanzania Nahisi "house girl" anayedaiwa kuua mtoto ni muhanga

    Kwa polisi wetu Hawa iyo case imeshahitimishwa. Hatuna sharlock Holmes hapa bongo
  3. Maze runner

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Biden kwa mara ya pili hakutani na Rais Samia?

    Mnadhani CCM iibe uchaguzi,iue imueke Mbowe ndani kwa charges za kisenge! Alaf Biden atoke amsikilize Samia!? Seriously!? Mnadhani Hana vitu vya kufanya. Boresheni utawala Bora na haki
  4. Maze runner

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Sheria ya serikali za mtaa, the urban planning act 2007 zimepitwa na wakati

    Kumekuwa na claim nyingi juu ya kupandishwa hadhi kwa vijijj, mitaa, na halmashauri kadhaa kutokana na kutimiza vigezo vya kupanda kadhi vilivoekwa na Sheria na kanuni zetu. Suala hili limechangiwa na kupitwa na wakati kwa Sheria mbalimbali zinazoongoza sekta hiyo. Hivyo Kuna uhitaji was wizara...
  5. Maze runner

    JamiiForums Tanzania Esther Matiko: Wanaobaka wahasiwe

    Wanatakiwa kuuliwa. Watu wanaofanya Mambo maovu wanapaswa kunyongwa!!
  6. Maze runner

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe alia ubaguzi katika mfumo wa elimu Tanzania

    Kwe Kwenye soko la dunia sisi utatfananinisha na wachina? Ata wahindi na ukubwa wao wanatumia english! Kiswahili hakiwezi kutusukuma mbele kitaaluma na kikitumika kitaaluma sio Kama ndo kitakuwa dhaifu
  7. Maze runner

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe alia ubaguzi katika mfumo wa elimu Tanzania

    HHoja yako?
  8. Maze runner

    JamiiForums Tanzania Waziri Pindi Chana, tafadhali anzia Kituo cha Boti za Zanzibar na Viwanja vya ndege. Watu wetu wanatudhalilisha na kutuaibisha sana!

    Aaibu Ni iyo ferry ya dar na ya Zanzibar! Hazina hadhi kabisaa yanj Toka ukoloni mpaka leo hamna maboresho. Waiting area mbovu, joto, ndogo Kama vile hatujazungukwa na bahar.
  9. Maze runner

    JamiiForums Tanzania Kati ya mahindi na alizeti kilimo kipi kinalipa?

    Kwanini inakuwa adimu kufika hatua viwanda vinaacha kuzalisha na vinafungwa?
  10. Maze runner

    JamiiForums Tanzania Kati ya mahindi na alizeti kilimo kipi kinalipa?

    Kama hizi hesabu ziko sahihi kwanini watu wengi hukimbilia kulima mahindi na si alizeti? Mm Nina mashaka na hesabu zako!!! Mana tungekuwa hatuna changamoto ya mafuta nchini
  11. Maze runner

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais eneo lililobaki Magomeni kota zijengwe nyumba za madaktari wa Muhimbili, Magomeni mall na hospitali kubwa

    Kujenga mall Ni gharama ndio ijengwe uswazi ili iweje ndugu. Na anaejenga sio serekali Ni private sector. Mbali na hapo mall ya aura na city mall Zina umbali gani na happy magomeni Kota? Ushawahi at kwenda!!!?
  12. Maze runner

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais eneo lililobaki Magomeni kota zijengwe nyumba za madaktari wa Muhimbili, Magomeni mall na hospitali kubwa

    Apo mall ya nini jamani, ukipanda mwendokasi dakika 5 uko city mall na aura mall. Ukija chuo kikuu Kuna sinza na mlimani!!! Hospital ya magomeni hujaona? Na nyumba za madtari, siamesema sehem ilobaki zijengwe nyumba tayari au ushushushu Tena update teuzi?
  13. Maze runner

    JamiiForums Tanzania Kwa ardhi tuliyonayo tunashindwa nini kuzalisha alizeti tukawa wauzaji wa mafuta kwa Afrika

    Swali lipo hapa, Bei ya alizeti Ni ndogo kweli! Sababu Ni ndo Bei ya soko la dunia au tija kwenye ekari Ni ndogo kiasi kwamba mtu akiuza kwa Bei hiyo elekezi hapati faida ya kutosha?
  14. Maze runner

    JamiiForums Tanzania Kwa ardhi tuliyonayo tunashindwa nini kuzalisha alizeti tukawa wauzaji wa mafuta kwa Afrika

    Unaongelea alizeti wakati ngano tu eti Tanzania inaagiza kutoka nje!! Bei ya unga imepanda maradufu wakati maeneo ya kulima tunayo... Point kubwa kwenye suala la alizeti Ni research chache na Tija ndogo kwa wakulima. Ukilima eka Moja ya alizeti na mahindi, faida ya mahindi Ni kubwa kuliko ndo...
  15. Maze runner

    JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi hawana imani na awamu ya 6, kila kitu wanahisi wanapigwa?

    Heri ya mtu anaekukaripia na mkali ilihali unajua anasimamia misingi gani kuliko mtu mpole mtulivu na mwenye maneno laini ila hujui Ana misimamo gani! Wengi wetu tulitarajia ajira zitatoka na kipato Cha watu kuongezeka. Tulitarajia mabadiliko kiutawala (katiba mpya ili tusirudi kuwa na viongozi...
Back
Top Bottom