Nimefanya process zote za kulipia bima ya NHIF mimi pamoja na familia yangu, cha kusikitisha zaidi wananiambia nisubiri ndani ya mwezi mmoja kukamilika.
Means hizo card zinatengenezwa kwa mfumo gani hadi zichukue muda mrefu kukamilika while process zote na payment zishakamilika.
Serikali...
Ukae ukijua kazini hakuna RAFIKI (MARAFIKI) kila mmoja yupo kwaajili ya kupambania tumbo lake na mafanikio yake binafsi
RAFIKI ni neno lenye herufi 6 tu lakini ni hatari sana
Ukiwa kazini jipambanie wewe na njaa zako na sio kuendekesha urafiki makazini
mayunga234
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.