Za Ndani Kabisa: Siku yoyote Ndege ya Diamond Platnumz inatua Bongo

Week ijayo star wa Bongo Flavor Diamond Platnumz anatarajia kupokea ndege yake inayotokea nchini Canada

Diamond Platnumz ameamua kuonyesha umafya kwamba hakuna kama yeye East Africa

Kwa hili lazima anaendelee kuchukiwa
Anko shamte ndo atakua pilot?
 
Masikin tunampoteza msanii wetu kanunua ndege second hand ina tatizo la kuzima ikiwaangan stata yake ni manual sio automatic mpaka ruban awe mzoefu wa ku adjust window ingine hacki kwa pamoja la sivyo inatokea kama ya aliya
Kampun iliyomuuzia diamond ndege ndio iliyomuuzia aliya na mchezaji eminiliano sala
 
alikuwa na ndoto na hatimae imetimia.. kusema kwingi huumba.. ame wish sana kuwa na ndege mwisho kaipata, ali wish sana kuna RR mwisho akaipata.. Hongera zake kwa kupambambani ndoto zake
Manifestation at its finest mkuu.
 
Masikin tunampoteza msanii wetu kanunua ndege second hand ina tatizo la kuzima ikiwaangan stata yake ni manual sio automatic mpaka ruban awe mzoefu wa ku adjust window ingine hacki kwa pamoja la sivyo inatokea kama ya aliya
Kampun iliyomuuzia diamond ndege ndio iliyomuuzia aliya na mchezaji eminiliano sala
Ndege si gari, ina taratibu zake nyingi
 
Masikin tunampoteza msanii wetu kanunua ndege second hand ina tatizo la kuzima ikiwaangan stata yake ni manual sio automatic mpaka ruban awe mzoefu wa ku adjust window ingine hacki kwa pamoja la sivyo inatokea kama ya aliya
Kampun iliyomuuzia diamond ndege ndio iliyomuuzia aliya na mchezaji eminiliano sala

Roho mbaya sana
 
Bilioni 13 unatupia katika Treasury Bond ya 25 years unapata hela yako Safi kabisa kila mwaka si Chini ya 1.3 bilioni kila mwezi Milioni 100 Safi kabisa...!

Ununuzi wa ndege ni kuongeza expenses tu za maisha
Nashukuru sana kwa kunielewa
 
Back
Top Bottom