Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 2,005
Ukae ukijua kazini hakuna RAFIKI (MARAFIKI) kila mmoja yupo kwaajili ya kupambania tumbo lake na mafanikio yake binafsi
RAFIKI ni neno lenye herufi 6 tu lakini ni hatari sana
Ukiwa kazini jipambanie wewe na njaa zako na sio kuendekesha urafiki makazini
mayunga234
RAFIKI ni neno lenye herufi 6 tu lakini ni hatari sana
Ukiwa kazini jipambanie wewe na njaa zako na sio kuendekesha urafiki makazini
mayunga234