Wanajamii, tuwewakweli, unemployment ni issue moja wapo ambayo imemletea mubaraka hayo yote tukiacha, ugiriki, nk. Employment ni jukumu la serikali kwa wananchi wake, lakini kwa tanzania hi ya JK, dont be over expectant, lazima tukaze boot, tubuni ya kubuni na kuchesi ndoto za maisha yetu. Yes...