Recent content by mayoh

  1. M

    Jamani mwenzenu sijielewi

    Jiandae ki-saikolojia kuwa leo au muda huu unafanya tendo gani,fanyeni romace ya kutosha
  2. M

    Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

    Nafikiri hapo wakati wa vikao vyao kutakuwa hakuna kuongea kiswahili...watakuwa wanaanza na Wasibhota kufuatiwa na Kihaya fuluuu hadi mwisho.
  3. M

    Anataka kuoa CHANGUDOA, ni CHANGAMOTO zipi atakumbana nazo katika Maisha yake ya NDOA?

    Ajiandae kusalitiwa huyo mume mtarajiwa,vichange vitakavyokuwa vinabaki ndani...lazma dame asepe navyo aweke kwenye kibobo,kuhusu chakula atataka ale kwa mama ntilie kila siku,maana hajazoea kupika hom,bila kusahau kreti moja ya bia iwepo ndani..my over view.
  4. M

    Kiswahili cha Kikenyakenya

    Budaa=Mzee Chipoo=Chipsi Chapoo=Chapati Deree=Dreva Mnenee au Mzito au sonko=Tajiri
  5. M

    Kwa nini wanawake wanene ni watamu kimapenzi kuliko wembamba (vimbaumbau)?

    Ujuzi wako tuu,kwanza wanawake wanene wanatoa harufu flan flan hivi,pili wanawake wanene wavivu sanaaa hawawezi sarakasi nyingi kwenye bed!kitu potable NYAMA TAMU ILIYOKARIBU NA MFUPA.
  6. M

    Naomba anayefahamu hili tatizo anipe suluhisho.

    Pole sana,hiyo ni dalili ya pressure ndg yetu,kwa uhakika nenda kwa mtaalamu wa mifupa.
Back
Top Bottom