Recent content by Mayoge.

  1. M

    Sheria inasemaje ukigonga gari kwa nyuma?

    Sasa unakuta mtu anakusogelea karibu sana anaacha sentimita 2 tu halafu unakuta ni gari kubwa kama fuso. Sijui breki zikifeli inakuwaje hapo
  2. M

    Maoni Ushauri na Mapendekezo kwa mabasi ya mwendo kasi (DART): Nini changamoto, nini umefurahia?

    Habari za asubuhi wakuu? Ninapenda kuwashirikisha jambo ambalo limenitokea leo wakati naelekea kibaruani. Siku tatu zilizopita hawa jamaa wa Dar es Salaam Rapid Transport (DRT) walianza kuuza kadi ambazo wateja wanatumia badala ya tiketi ambazo zimekuwa zikitumika tangu kuanza kwa mradi. Leo...
  3. M

    The day Nyerere refused to meet Ali

    Kama Kama kumbukumbu zangu zipo sawa rafiki mkubwa wa mwalimu alikuwa John Kennedy na sio Jimmy Carter
  4. M

    Uchambuzi wa kina wa hotuba ya rais Mh. John Pombe Magufuli (Picha kubwa)

    Nadhan nimekuelewa maana yako mkuu na upo sawa. Wasaidizi wake wana nafasi kubwa ya kushauri ili tuweze kusafiri salama ktk boti hili
  5. M

    Ndalichako: Wanaodaiwa na HESLB tutaweka majina yao magazetini kuwashinikiza kulipa

    Inategemea aina Nasikia mabenki yatatumika kuwapata. Kwa wajasiriamali na hasa kama kasajili jina la kampuni na kufungua akaunti kwa jina hilo ni ngumu kuwapata
  6. M

    Leo nimekutana tena na classmate na jirani yetu nyumbani nilikozaliwa, ni muuza mgahawa Dar!

    Lengo la stori hii lengo la stori yako hii ni nini?
  7. M

    Jinsi nilivyokwepa kusingiziwa mimba.

    Aise pole sana. Suala lako linalingana na ripoti ya mkemia mkuu ambapo ilionekana asilimia kubwa ya kesi zilizopelekwa kwake ilidhihirisha wanaume wengi walisingiziwa watoto ambao sio wao. Kuna jamaa yangu mmoja alinisimulia kuwa kuna dada wanafanya nae kazi basi wakati maniacal. Siku ya...
  8. M

    Kwanini sikubaliani na alichokisema Rais Magufuli kuhusu Jumuia ya Madola

    Urais ni taasis. Unajuaje labda taarifa alipewa mapema kabla ya maandalizi ya sherehe ila tu kutamka kwa jamii nzima ndo alifanya wkt wa sherehe
  9. M

    Kwanini sikubaliani na alichokisema Rais Magufuli kuhusu Jumuia ya Madola

    Mkuu unaijua vema lakin sheria ya manunuzi? Kuna baadhi ya huduma ambazo unapata karibu kila siku toka kwa supplier fulan. Badala ya kila unapohtaji kununua ufuate taratibu zote za manunuzi, timu ya manunuzi inaamua ku pre-qualify suppliers kadhaa kwa muda fulan aidha miezi sita, mwaka, nk...
  10. M

    Hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili yapokea vitanda na magodoro

    Hivi wamesema kuwa hiyo consignment ya vitanda na magodoro 500 ndo yote au ni initial delivery? Huenda unit cost ni ndogo zaidi ya hiyo 450,000
  11. M

    MwanaHalisi: Kikwete akomba hazina! Fedha zilizopo hazitoshi kuendesha serikali hata siku 20

    Upo kama mimi mkuu. Nimegundua magazeti mengi yapo kishabiki zaidi hivyo kupata uhalisia wa habari ni ngumu
Back
Top Bottom