Recent content by Mayo bakari

  1. M

    Nimependa Mboni ya Viongozi wa UKAWA

    Nawaunga mkono ukawa lakini nahisi ccm watafanya kila namna na hila kupitisha katiba!
  2. M

    Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

    jaribu kutumia maziwa fresh pindi unapohisi hamu ya sigara! itakusaidia
  3. M

    Kuhonga ni jambo ambalo halikwepeki

    nadhani njia bora ni kutulia na kama unataka kuhonga muhonge mkeo! H.I.V wil gi u leson! jaribu kutoa thread za kuelimisha.
  4. M

    Wapalestina Walimsaidia Amini wakati wa Vita ya Tanzania na Uganda!

    Sijajua unataka nini hasa! nadhani unajua taifa linaloitwa israel halikwepo mashariki ya kati kabla ya 1948! Kama ww si mtumwa wa wazungu basi utakubali kwamba hakuna tofauti kati ya apatheid of south afric and ziosim of israel.
  5. M

    Sikukuu ya Idd 2014 ni lini?

    Acha kuandika usivyovijua! naamini hufahamu lolote kuhusu hiyo aya! kaa kimya..
  6. M

    Mbowe atolewa nje ya bunge

    Ndugai anchokifanya ni kutetea maslahi ya ccm na siyo nchi.
  7. M

    Natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!!!!

    mbona waafrica watamu tu!
  8. M

    Slaa: CCM wamechanganyikiwa

    Hahahaaha! kalamu iliyopotea.
Back
Top Bottom