Diamond ni jeuri na anacheza na akili za watu saivi katoa wimbo mpya na watu wamehamishia attention kwenye wimbo wamesahau juzi tuu walikua wanaongelea PENSELI.Mkimaliza kuongelea hili la kucopy ataleta tukio lingine.
Sijakupa vzr mkuu code zipo huwa wananitumia nikitaka kutoa hela hela,sasa nimtumie nani hiyo code ili nipate hela yangu,maana no zao zote hazipatikani.
Hiyo hela ni ndogo sana tena mond kamfanyia uungwana sana unapovunja mkataba kabla haujaisha lazima ulipe gharama za huo mkataba hili liko wazi dunia nzima,kama unaona mond ni mnyonyaji jaribu kufuatilia mikataba ya nchi zingine zilizoendelea kimziki uone haya mambo yanavoenda usipende kulishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.