Nina mzigo ninaotaka kusafirisha, hivyo nahitaji broker au dalali atakayenisaidia kunitafutia gari linalofaa kwa usafirishaji huo kwa haraka na kwa gharama nafuu.
Piga simu tufanye kazi 0682493359
Mkuu Nashukuru kwa mada nzuri. Ila mimi labda sijaelewa ila naona kama repurchase ikiwa ndogo inakupa faida wewe au vp.
Mfano: nna vipande 8,000 ambavyo kwa bei ya siku hiyo SP ni 135 na RPS ni 126, nikiuza inakua 8,000 × 135 = 1,080,000 na baada ya kuuza nikataka kununua tena ndo bei inakua...
Kama haitoshi acha kazi😅
Mtu anakaa nyumba ya 200k monthly
Anataka asomeshe watoto international school
Weekend akalewe kdg
Anataka avae kama kina marioo
Anaenda kukopa ananunua Gari ya kuuzia sura town alafu anakwambia skuiz gari sio anasa ni mahitaji muhimu!!! 560,000 ni hela nyingi sana...
Nmeongea haya sio kwa nadharia hapana mimi nmeajiriwa 2012 nmecheza kombolela kama miaka mitano hivi, yaani unalipwa mshahara hujui hata unaishia wapi😅
Na hapo sikua na familia wala nini lakini nhoma haioni giza mbili. Nikaja kupata dem akachangia kunifungua mawazo, nikajiuliza saiz nakaa na...
Tafuta hao wanaolipwa mshahara huo watu 10 kati yao utapata atakaetoboa. Hapo unatak ukapange nyumba kali,mle luxury huwez toboa. Kwan hao watanzania wanaoishi chin ya dola kwa siku??!
Habari za Harakati za kiuchumi.
Napenda kuwashauri Wafanyakazi wenzangu ya kwamba mchawi wa maendeleo yetu ni sisi wenyewe sio kipato kidogo.
Mfano unajua kabisa kijana wa ambae hana ajira akipata 10millioni akiwa mtaani anaweza kuikuza na kuwa tajiri kuliko wewe. Ila wewe unaweza kupata mkopo...
chanzo cha umasikini
elimu ya fedha
kifedha
kukuza uchumi
kutumia fedha vibaya
maisha ya kujionesha
mishahara
mishahara midogo
ukosefu
umasikini
wafanyakazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.