Recent content by mayejif

  1. M

    JamiiForums Tanzania SERIOUS PROBLEM.

    Hata mm nlipata shida but shida ni mtandao cha kukushauri jaribu kuuncomfirm kuanzia saa 9 had11 alfajir panakuwa pametulia mm nilifanikiwa
  2. M

    JamiiForums Tanzania UNCONFIRMATION SELECTION

    Pengine ni mtandao,jaribu kucancel mida ya 9hadi saa11 alfajir utafanikiwa mm mwenyew ilinitokea hiyo
  3. M

    JamiiForums Tanzania IAA WHAT'S WRONG

    Waungwana kuna jamaa yangu nlimuombea vyuo(vyote alipata)kimojawapo ni chuo hiki sasa kilichelew kutoa majina ya first round wakasema watayaambatanisha na ya second selection cha ajabu majina yametoka na jina lake halipo na ukiwapigia cm wanasema kashakuwa admitted ktk chuo kingine na wakati...
  4. M

    JamiiForums Tanzania naomba ushauri

    Jaribuni na vyuo vingine,hivyo vina ushindani mkubwa sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania BACHELOR OF ECONOMICS AND FINANCE

    Sawa
  6. M

    JamiiForums Tanzania BACHELOR OF ECONOMICS AND FINANCE

    Chuo no institute of accountancy Arusha
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuusu cource za zinao husu comb ya EGM

    Bachelor of economics and statistics Bachelor of science in economics
  8. M

    JamiiForums Tanzania BACHELOR OF ECONOMICS AND FINANCE

    Guys naomba yeyote mwenye ufahamu juu ya hii kozi anijuze like masomo yapo mangapi n.k
  9. M

    JamiiForums Tanzania IPI COARSE NZURI KATI YA HIZI

    Economics and finance iko bomba na ina uwanja mpana wahasibu ni wengi cku izi kazi kupata ni hadi uwe na cpa
  10. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA JINSI YA KU UNCOMFIRM

    Wakuu mimi niliomba vyuo viwili saut(bachelor of arts in economics)na IAA(bachelor of economics and finance)sasa IAA walichelewa kunitumia taarifa km nimechaguliwa nikawa tayari nimecomfirm saut sasa kila nikiuncomfirm inakataa je tatizo ni nini.
  11. M

    JamiiForums Tanzania IPI COARSE NZURI KATI YA HIZI

    Economics and finance ni nzuri sana Nenda kasome
  12. M

    JamiiForums Tanzania Udsm na mzumbe ni confirm kp?

    Nenda mzumbe
Back
Top Bottom