SERIOUS PROBLEM.

Official Juma

Member
Aug 1, 2019
10
20
Ndg poleni na majukumu,
NILICHAGULIWA MULTIPLE(SAUT&KIUT) 2nd round nikahitaj kwenda KIUT lakini kwa bahat mbaya Nilikua na request confirmation code kwnye akaunt Yang ya SAUT nkajisahau nkafanya confirmation Saut bla kujua nilipojaribu Ku UNCONFIRM system yao inakataa, nikaomba third round nmechaguliw UDSM ila nikifanya confirmation naambiwa ni UNCONFIRM SAUT kwanza, na system ya SAUT imeshindikana ku UNCONFIRM nkataka kufaham ni njia ipi ya mwisho Hapo nifanye ili kujiunga na UDSM

Kwa mawasliano binafsi 0746672791
 
Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
19,532
2,000
Kwanza hongera sana kwa kuwa selected kwny multiple univ.

Nakushauri uwasiliane na uongozi wa SAUT uwapigie simu kabisa...usiwatumie barua au email msg kwasababu huwa hawajibu kwa wakati (huu ni ugonjwa wa taasisi zote hasa za serikali Tanzania)

Ikishindikana nenda kabisa mwenyewe kwenye uongozi wa sauti kwny Admission office wakusaidie.
 
Mr Devil

JF-Expert Member
Jul 7, 2019
4,028
2,000
Kumbe nyie ndo mnao jaza nafasi za watu wame kosa uko .pumb*vu sana tamaq nyingi
 
mayejif

Member
Jul 31, 2019
13
45
Ndg poleni na majukumu,
NILICHAGULIWA MULTIPLE(SAUT&KIUT) 2nd round nikahitaj kwenda KIUT lakini kwa bahat mbaya Nilikua na request confirmation code kwnye akaunt Yang ya SAUT nkajisahau nkafanya confirmation Saut bla kujua nilipojaribu Ku UNCONFIRM system yao inakataa, nikaomba third round nmechaguliw UDSM ila nikifanya confirmation naambiwa ni UNCONFIRM SAUT kwanza, na system ya SAUT imeshindikana ku UNCONFIRM nkataka kufaham ni njia ipi ya mwisho Hapo nifanye ili kujiunga na UDSM

Kwa mawasliano binafsi 0746672791
Hata mm nlipata shida but shida ni mtandao cha kukushauri jaribu kuuncomfirm kuanzia saa 9 had11 alfajir panakuwa pametulia mm nilifanikiwa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom