MSAADA JINSI YA KU UNCOMFIRM

mayejif

Member
Jul 31, 2019
13
45
Wakuu mimi niliomba vyuo viwili saut(bachelor of arts in economics)na IAA(bachelor of economics and finance)sasa IAA walichelewa kunitumia taarifa km nimechaguliwa nikawa tayari nimecomfirm saut sasa kila nikiuncomfirm inakataa je tatizo ni nini.
 
Ramadhan James

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
2,214
2,000
Wakuu mimi niliomba vyuo viwili saut(bachelor of arts in economics)na IAA(bachelor of economics and finance)sasa IAA walichelewa kunitumia taarifa km nimechaguliwa nikawa tayari nimecomfirm saut sasa kila nikiuncomfirm inakataa je tatizo ni nini.
Msaada, wanatibitisha vipi ?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom