Recent content by Mayega Anold

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: MSAADA ZTE KISS 3 MAX

    Inagoma kiongozi hata ukitoa line inakuwa bado
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: MSAADA ZTE KISS 3 MAX

    Inagoma kabisa mkuu wangy
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: MSAADA ZTE KISS 3 MAX

    Naomba mnisaidie simu yangu ZZTE KISS3MAX inaniambia slot sim parmenent locked.nawezaje tatua tatizo hili.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote hapa kuhusu vingamuzi au dishi

    io channel ya RDV haipo kwa kipindi kirefu sasa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto hataki kunyonya

    unafanya kazi gani?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Strong 4922 decoda bora kwa FTA Television chanels

    Njoo hapa we tapeli mbona umekimbia.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Naombwa nigombee urais 2015

    mwigulu ni jembe.ila sasa ni EDWARD NGOYAI LOWASSA.asubir 2025
  8. M

    JamiiForums Tanzania Fungua Pattern Za Simu Ya Kichina Au Copy Ilioshindikana

    naomben master key ya kufungua pattern ya samsung galaxy pocket
  9. M

    JamiiForums Tanzania msaada kwa hili.

    poleni na mahangaiko.,swali langu ni kwamba, mtu kama ana breed wakati hayupo kwenye hezi na anatumia vidonge vya majira tatizo huwa ni nini? na je kwanini kama akienda kukojoa anapatwa na maumivu makali?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Otea nini kilimpata huyu Baunsa

    nini tena huyo mtu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanafunzi anastahili asome darasa gani?

    maswali yote kakosa
  12. M

    JamiiForums Tanzania wataalam wa madish.(ungo)

    thanx all.nimejarb lakin bado haishiki
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu mvivu kupindukia!

    nakuomba kaka uchukue hao watoto ukapime dna. jibu utakalo pata chukua uamzi mgumu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania wataalam wa madish.(ungo)

    naombeni frequency za tbc 1. kama zipo.
Back
Top Bottom