Kweli kabisa mkuu. Botswana is the most expensive Country especially Gaborone. Nimewahi kwenda kule. Ni kuzuri, lakini maisha ni ghali sana. Kwa dolla 700 mh!!!!
Kama ni Umbilical Hernia haiwezi kuisha hata ufanyeje. Dawa ni operation ya kuiondoa tu. Mimi nilipiga chenga kwa mwanangu tangu akiwa na umri wa miaka minne, lakini nimekuja kusalimu amri akiwa na miaka 22. Asikudanganye mtu eti ni kitovu kitaisha kadiri anavyokua. Utakuwa unamtesa mtoto tu...
Pole sana Bashada. Kama mtoto ana Umbilical Hernia, basi hilo si tatizo kubwa. Nenda hospitali wakamfanyie Ultra Sound ili kudhibitisha kama kweli ni Umbilical Hernia. Mimi mwanangu alisumbuliwa sana na tatizo hilo haswa anapokuwa sehemu ya baridi. Kwa sasa ni kijana mkubwa na anasoma Chuo Kikuu...
Baada ya PSPF, NSSF NA PPF Kushinda kesi yao na Blue Pearl mahakamani leo, Vijana wa kazi Majembe Auction Mart wako kazini kuwatoa Blue Pearl katika jengo la Ubungo Plaza. Hivi ninavyoandika uzi huu, baadhi ya furniture tayari zimetolewa nje.
Ubungo Plaza yashikilia magari 30 ya Hoteli ya Blue...
Pole sana ndugu yangu. Promotion ya fastjet siku zote huwa ni ya ukweli. Kama wewe hujabahatika, basi wenzio sisi tunafaidi fastjet. Ninawapongeza sana Fastjet na ninawapa BIg up!! Ni airline pekee ninayoiona ya uhakika kwa safari za ndani. Mimi nimefanya booking leo na zote nimepata...
Hivi wanawake maskini, watoto yatima na albino wanasadiwa kwa ada ya zaidi ya shilingi milioni 4 kwa mwaka? Hebu jaribu kupeleka mtoto kwenye hiyo shule uone kama hukurudi naye?
Hivi wanawake maskini, watoto yatima na albino wanasadiwa kwa ada ya zaidi ya shilingi milioni 4 kwa mwaka? Hebu jaribu kupeleka mtoto kwenye hiyo shule uone kama hukurudi naye?
Acheni kuongeza chumvi. Nilimsikia vizuri sana, alisema si lazima kumuomba Mungu kwenye mikutano ya hadhara. Akiwa na maana kuwa, kwa sababu za kiusalama unaweza kumuomba Mungu bila kuwa kwenye mikutano ambayo ni hatari. Tena alirudia mara mbili lakini wale waandishi kwa sababu ya ushabiki...
Omba tu hakuna tatizo. Mara nyingi muda wa Interview unakuwa tofauti, lakini inafanyika siku moja. Mwanangu ameomba mbili na zote amepata, zinafanyika siku moja ila muda tofauti. Jaribu bahati yako usiiachie.
Naomba sana unisaidie hayo maswali ya Oral. Mwanangu ameitwa kwa mara ya kwanza na hajawahi kufanya interview.
Nadhani akiyapata yatamuongoza namna ya kujibu hata kama si hayo. MUNGU AKUBARIKI SANA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.