Hivi mtu aliyesema hivyo yupo ktk ofisi yake hadi leo. kwa kauli hiyo tu rais makini ilitosha kumweka nje ya ofisi, lakini huyu wetu ni mpaka bunge liunde kamati na litoe shinikizo; sasa bunge linakutana mara ngapi ktk mwaka? Na makosa kama hayo hufanyika kila uchao; ni wajibu wa rais kuwa...
Tatizo ni mbinu zinazotumiwa na wizara yake katika kufanya operation, zinatesa watu, kuuwa na udhalilishaji wa hali ya juu. Imefanyika hivyo Pemba, Mtwara na sasa OP. tokomeza; Ni lazima awajibike.
Ikulu imesema ni vibaka ndio wanaopigwa Mtwara. Jenerali wa jeshi amesema hizo ni habari za mtaani tu, hakuna mtu aliyepigwa Mtwara. hivi hawa watu wenye mamlaka hawaoni soni wanapoongelea vitu bila weledi wowote? si heri wanyamaze tu? shame of you.
kwa hakika Pinda amekosea kabisa na kupoteza sifa ya kiongozi wa umma kwa kauli yake hiyo. Wale wanaolalamika kupigwa na polisi au JWTZ siyo watia fujo, bali ni wananchi waliokuwa wametulia lakini majeshi hayo yakafanya huo uhuni kwa kisingizio cha kulinda amani. Mfano ni siku hizi za karibuni...
Siku wala siyo nyingi utakuja kujua wa mtwara wanamaanisha kile wanachokisimamia na si kwa ajili yao tu bali ni kwa hata taifa zima. omba uhai tu utaona siku si nyingi, asante wana mtwara mnasaidia kuandika historia ya nchi hii. HIVI KWELI HII NCHI YETU NI MASKINI KWELI AU MUFLISI WA MAWAZO YA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.