Recent content by MAYANGA SALUMU CHANGUHELA

  1. MAYANGA SALUMU CHANGUHELA

    SoC02 Je, nyuma ya uchi kuna siri gani?

    Mmmmmhh hapo sijakuelewa hata kidogo maana sijaoma reference book pia sijui 15 iwe 1+5 ,,,pili tuambie iyo formula umeitoa wapi na imeundwa na nani?
  2. MAYANGA SALUMU CHANGUHELA

    Tunajifunza nini juu ya kesi ya Prof. Assad?

    Tunajifunza unafiki wa kiwango cha flyover Unatoa hukumu wakati mtuhumiwa hayupo sio vyema kunena kwa ubaya merehemu
  3. MAYANGA SALUMU CHANGUHELA

    Furaha iliyogeuka kilio na maumivu

    Ilikuwa mara yangu ya kwanza kukutana na rafiki yangu kipenzi aitwaje Mayasa alifurahi kuniona nami pia tuliongea mengi sana pia ila akanisimulia hali yake ya ndoa " Mayasa: MAYANGA nimefurahi kukuona binafsi hapa ndio napo ishi mda wote hushindi humu bila kutoka kwenda hata kwa jirani nimekuwa...
  4. MAYANGA SALUMU CHANGUHELA

    Njia zipi nzuri ya kujiimarisha kiuchumi kwa waajiriwa?

    Unajua kila jambo Ni kujitoa kwa mfano unapofanya biashara ya duka mm nadhano ni jbo lakuajiri mtu akuuzie ila ww utatakiwa kila unapotoka kazini unapitia dukani kufunga hesabu lakini jambo la muhimu ni kumuamini mfanyakazi wako maana sio kila utakuwa na mda ,,,,au unaweza kuwekeza kwenye...
  5. MAYANGA SALUMU CHANGUHELA

    SoC02 Elimu katika wilaya ya Temeke

    Shida sio uswahili bali ni idadi kubwa ya wanafunzi katika wilaya ya temeke maana kwa waliojiunga kidato cha kwanzo shule yenye idadi ya ndo ya wanafunzi ni 400 na idadi ya kubwa ni 1000 kwa kidato cha kwanza
  6. MAYANGA SALUMU CHANGUHELA

    SoC02 Yombo na uhalifu

    Mambo yamekuwa tofauti sana yombo imekuwa na makundi maarufu sana ya kiharifu ambayo dar es salaam nzima yanajulikana mfano mkubwa panya road ambalo kundi hili linaundwa na vijana ambao asilimia kubwa walipaswa kuwa shule na limekuwa likifanya matendo ya kiharifu hadharani kabisa kundi hili...
  7. MAYANGA SALUMU CHANGUHELA

    SoC02 Elimu katika wilaya ya Temeke

    Temeke ni moja ya wilaya ya dar es salaam mara nyingi imekuwa ikishika nafasi ya mwisho kimkoa .Jambo ambalo tunaweza jiuliza kwanini temeke kila mara inakuwa ya mwisho lakini jibu ni kwamba wilaya ya temeke ni wilaya yenye idadi kuwa ya watu Dar es salaam. Je idadi inaweza kuwa sababu ya kuwa...
  8. MAYANGA SALUMU CHANGUHELA

    SoC02 Unyanyasaji kwa fimbo ya uzalendo

    Je, nini maana ya uzalendo? Je ni kweli uzalendo unapatikana kwa kutodai stahiki zako? Uzalendo ni hali ya kuipenda, kuithamini na kujitolea kwaajili ya kabila, tamaduni na nchi yako .wikipedia Je uzalendo unalamishwa? Kuna tabia ambayo hata ww unaweza kutoipenda ambayo pale unapojitoa kufanya...
  9. MAYANGA SALUMU CHANGUHELA

    Elimu ya sensa kwa jamii

    Hapana inabidi umpe taarifa zote kwa usagihi maana mahojiano yatafanyika kwa kuzingatia sheria ya takwimu ya na.351 kuwa taarifa zote unazotoa ni siri na zitatumika kwaajili ya madhumuni ya kitakwimu tu wala si vinginevyo
  10. MAYANGA SALUMU CHANGUHELA

    SoC02 Wanafunzi wa mchepuo wa sanaa (Arts) kidato cha tatu na nne wapunguziwe idadi ya mada (topics) katika masomo kama "Biology" na Hisabati (Mathematics)

    Binafsi naona haikosawa maana ,,,hisabati msaada mkubwa sana kwa mfano mwanasanaa (arts) anaweza soma egm hge lakini pia anaweza kwenda chuo soma accountance lakini pia biolojia itamsaidia kusoma community health nursing attendant ivyo hoja za bado sioni kama zinatija kwa maslahi mapana ya...
  11. MAYANGA SALUMU CHANGUHELA

    SoC02 Hasara na faida ya viboko(fimbo) katika elimu

    Elimu ni kitendo cha kuamisha ujuzi kutoka kwa mtu mmoja(mwalimu) kwenda kwa mtu mwingine (mwanafunzi). Ili tuseme mtu ameelimika tutampima kwa mabadiliko ya tabia baada ya kupata elimu mfano kujenga choo unapopewa elimu ya umuhimu wa choo, kutumia elimu kutatua changamoto zinazokuzunguka katika...
  12. MAYANGA SALUMU CHANGUHELA

    Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Ooh tayari nmeshaandika naomba ukasome kisha comment ,,,,na kulike
  13. MAYANGA SALUMU CHANGUHELA

    Elimu ya sensa kwa jamii

    Sensa ya watu na makazi ni utaratibu wa kujusanya, kuchambua na kusambaza takwimu zakidemographia , uchumi na kijamii kuhusiana na watu wote nchini na makazi yao kwa kipindi maalumu.kwa Tanzania tunafanya sensa kila baada ya miaka kumi (10) Kwanini tukubalia kuhesabiwa kwa kutoa taarifa...
  14. MAYANGA SALUMU CHANGUHELA

    Sensa yetu maendeleo yetu

    Sensa ni utaratibu wa kukusanya kuchakata na kusambaza taarifa za watu wote na makazi katila kipindi maalumu . Je Kuna umuhimu wa kuhesabiwa ? Jibu ndio umuhimu upo sana kwasababu inatusaidia kutathmini hali ya uchumi ya sasa. Inasaidia kujua idadi ya waliosoma na wasio soma pia kujua idadi ya...
Back
Top Bottom