Recent content by May Day

  1. May Day

    JamiiForums Tanzania Kuanzishwe kampeni ya kudhibiti lugha chafu kwenye mabanda ya mpira

    Nchi imeshajaa Wahuni mpaka imezidiwa na wanatamani wote tuwe Wahuni.
  2. May Day

    JamiiForums Tanzania Muandaaji wa maudhui natafuta connections

    Stand up commedy?.any way ngoja Wahusika waje.
  3. May Day

    JamiiForums Tanzania Video: Wachina wana mpango gani na nchi yetu? Kuna hii store Mikocheni wanauza kila kitu 3,000. What's going on?

    Nadhani Watu tuna miss point ya msingi hapa.Na wengine wanamlaumu Mleta uzi kwamba ana wivu.Kikubwa ni kwamba hilo duka ni la kurahisisha uuzaji wa bidhaa zao wanazozalisha China.Huwezi kukuta kuna bidhaa ya kwetu au kwingine.Ndio kusema hata kama hump kipo cha elfu kumi kitafidiwa na bidhaa...
  4. May Day

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mkurugenzi wa TANESCO aliyefariki alitumia gari binafsi kazini badala ya ofisi? Kwanini waling'oa namba ya gari?

    Ni kama nimesikia kwamba Dereva wa Scania amekimbia hawajui alipo.
  5. May Day

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mimi ni mmoja ya G55 sasa baada ya hapa tunafanyaje ndugu zanguni? Maana ni kama hesabu zimeenda hovyo

    Act denda linawatoka huko nendeni fasta,wote mtagombea ubunge.
  6. May Day

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

    Kwake sawa na Dereva je? Kama naye unamkurupusha tu basi ni hatari,ni bora hata kutafuta Dereva mwingine aliyejiandaa kwa wakati huo
  7. May Day

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

    Pumziko La Amani Wapate hao Marehemu. Huenda ni matokeo ya kutokupumzika.Gari ni mashine tu inayokufuatisha wewe Binaadamu unaitumiaje,haitakwambia sasa umechoka na unaanza kusinzia.
  8. May Day

    JamiiForums Tanzania TANZIA Adrian Hillary Stepp afariki dunia

    Pumziko La Amani Apate.
  9. May Day

    JamiiForums Tanzania Swali kwa waislamu wote; Alichokifanya huyu Sheikh ni sahihi au amekosea? Sheria za kiislamu zinasema atapewa hukumu gani kwa Allah ?

    Sioni ulazima wa kuendelea au kuendeleza kila kilichofanyika zamani, iwe ni kimila,kikabila au kidini.
  10. May Day

    JamiiForums Tanzania Vituko mitumbani

    Zinatokea Ukraine, Romania kudadeki.
  11. May Day

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Babu Tale agawa kanga kwa wafuasi wa CCM huko Morogoro

    Muache ndio muda wenyewe huu.
  12. May Day

    JamiiForums Tanzania Ikangalombo afukuzwe Yanga haraka

    Mpeni muda
  13. May Day

    JamiiForums Tanzania Full Time: Azam FC 1 - 2 Young Africans SC | NBC Premier League | Azam Complex | 10-04-2025

    Coastal walikuwa afadhali kuliko haya maandazi ya Bakhresa
Back
Top Bottom