Recent content by Maxzo

  1. Maxzo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    C7FF2A
  2. Maxzo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Asa ndio nini wanafanya kama hawataki watu wabeti si ni bora wafungie betting yenyewe kuliko kulundika kodi kila sehemu Ukiweka hela wanakata Mkeka ukishinda wanakata Ukienda kwa wakala wanakata bado wanaona haitoshi hata ile sh500 ninayo place bet waikate tena Kwani makampuni ya betting...
  3. Maxzo

    JamiiForums Tanzania Nimejitafuta kwenye kubeti mpaka nimechoka

    Usikate tamaa endelea kuwatafuta Kuna mazuzu utawapata humu.
  4. Maxzo

    JamiiForums Tanzania Maono timu zitakazotinga fainal klabu Bingwa barani Afrika

    Robo fainali, Mamelodi vs Yanga Fainali Mamelodi vs TP Mazembe
  5. Maxzo

    JamiiForums Tanzania Dodoso: Bei mpya ya korosho Ruangwa

    Kwa mwaka jana bei za mwisho mwisho kabisa kangomba 1,000 na mnadani ziliuzwa 1500-1600. Hizo ndizo bei za December mwishoni hadi January, Bei za kufungia msimu.
  6. Maxzo

    JamiiForums Tanzania Dodoso: Bei mpya ya korosho Ruangwa

    Hawalipi hapo hapo wana subiri mnada ufanyike ndipo waweze kulipa.
  7. Maxzo

    JamiiForums Tanzania Dodoso: Bei mpya ya korosho Ruangwa

    Hapa nilipo mpakani mwa mkoa wa Ruvuma na Mtwara, korosho kangomba 1,200 mpaka 1,300. Kwenye maghala unakouzia bei zinacheza siyo zaidi ya 1,950 ukitoa makato yote ya halmashauri pamoja na maghala (250-300) utapokea 1,700 - 1,750 kwahiyo faida kwa kila kG1 ni 400-450, Kama utanunua mwenyewe kwa...
  8. Maxzo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    A32E2A sportybet
  9. Maxzo

    JamiiForums Tanzania Tatu Malogo FC ndio timu pekee iliyo pewa odds nyingi ikiwa nyumbani

    Huenda makamputi hutofautiana katika upangaji wa Odds
  10. Maxzo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomba link ya source ya hizi matches FB or Telegram
  11. Maxzo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NIFANYAJE NISIAIBIKE?

    Acha nyeto
  12. Maxzo

    JamiiForums Tanzania Nini kinakukwamisha kuwa jinsi unavyotaka kuwa?

    Natamani sana kuachana na BETTING na NYETO ila ndio inashindikana sababu ni ndugu wawili wasiotengana
  13. Maxzo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Utaibiwa
  14. Maxzo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betpawa SGR 100 to 300k 14416F7
  15. Maxzo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Portybet treni Odds140 EDIT 0.001% 69147E
Back
Top Bottom