Hii nchi watu kwani mnafikiri vipi??? Do you think Emma alijiamulia tu kusema kile alichosema? Hii tunaita last card in chase, kama ni pool table tunasema WAMEAMUA KUIFICHA WHITE, mtaelewa baadae saivi bado🤯
Intact namkubalii sana mwambaa heche ilahapa sio, hizo petitions haziezi kusikika coz football na politics ni irrelevant images hazina ushirikianoo kabisa!
Scientifically jmaa
Yes pure biological approval jamaa anawezakuwa alikuwa na shinikizo la damu so probably aliingia kukamia match, kitu ambacho kikamfanya abanwe na pumziii, lakini pia nature ya mwanamke aliedate nae kama ni type za wale ambao hupenda kumbana mwanaume especially once akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.