Ila hii nchi ujue haina siri.. kama ni KWELI kuna mkwanja unapita kitaa ili wana wakiwashe hii taarifa ingefika mtaani chapu na kuna shuhuda za kweli tungeziona ila mm sjawai skia jambo la mtu kulipwa tangia 29/10 ile. Na nlikiwa eneo kwenye kiini cha maandamano aisee
Hadi watoto wa madoni wenye pesa pia wanataka hela tofauti ni kuwa hawaombi.. unatakiwa ujiongeze mwenyew na usipofanya ivo penzi ata wiki alitoboi.. ukimpata unatoka nae out unalipia kila kitu unampa zawad iphone 17+ unamfanyia mambo ambayo ni zaid ata ya aisha wa mtaani ambae unamhonga 100k...
Hao jamaa wamezakia tu huko hawako uko kihalali na wengi wanauza ama kusambaza madawa... Unataka ubalozi uwasaidie ao wahuni ili iweje?? Ubalozi unatoa msaada kwa anaeenda mara ya kwanza ukifika kama una jambo linahitaji usaidizi au kibali kimeisha uelewi elewi sio hoa jamaa wa sauzi
Labda sielewi vizuri,, ila 'mabeberu' wana ulazima gani wa kusababisha mauaji ya watu ili wachukue rasilimali ilihali wanaweza kuchukua bila kusababisha maandamano!!? Na wamekuwa wakizichota miaka yote hii😑
Mm nlikiwa fom6 bwenini usiku gafla nlizidiwa na homa ya ajabu nikaenda hospitali ya mkoa huo. Hiyo ilikuwa ijumaa alafu j3 mtihani wa taifa wa f6 unaanza... Terrible incident sitasahau
TANGANYIKA HAIKUTAKIWA KUUNGANA NA Z'BAR ILA ILITAKIWA KUITAWALA NA KUICHUKUA KUWA SEHEMU TU KAMA MKOA AU WILAYA.. NA KAMA NYERERE ALIOGOPA KUFANYA IVO ANGEWAACHA TU.. HUU MUUNGANO NI UPUUZI
Sijui unataka ushauri gani ila mm nimenufaika sana na kuwa na utulivu.. kina mambo mengi ambayo ningewahi au kuharakia yangenichenjia ila nimesubiria sana na imenilipa sana aisee..
Ile yohana 14 nina miaka na miaka ndo mstari wangu pendwa.....
"Mnamwamini Mungu, niaminini na mimi..."
Yesu atakuja mara ya pili kutuchukua na maswaibu yote ya ulimwengu yatakoma. Tumuamini yeye aliye na uhakika na makao yetu ya milele
Kuhusu kuhubiri pesa na mali sioni tatizo.. maana wanamuomba Mungu kupitia jina la Yesu awape mafanikio ya kiuchumi.
Kuhusu usasa kanisani pia sioni tatizo maana tunatumia spika,maiki na teknolojia kedekede ili kusongesha injili mbeleeee
Kuhusu wanawake kuwa wahubiri pia sio kesi. Hayo ni maoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.