0752226475 .... Nitumie ujumbe whatsapp kuna additional benefits ambazo kila mteja wa e-book anapata ikiwemo my personal support katika mchakato wa kufanya sponsored ads vizuri... Bei 10,000/= Tu
Habari za leo wakuu,
Leo nimerudi tena and hopefully tutakuwa pamoja kuendelea kujifunza kuhusu social media marketing and advertising
Leo nataka nishee nanyi jibu ambalo nililitoa baada ya kuulizwa na mfanyabiashara ambaye nilimfundisha kufanya sponsored ,alikuwa hafahamu kabisa lakini...
Je, biashara yako inahangaika kupata wateja wa kutosha Online? ...Je, unafanya matangazo ya sponsored lakini hayakuletei wateja kama unavyotaka? Unaishia kupata likes tu
Je,unatamani kweli kufanya Sponsored lakini hujui pa kuanzia wala pa kujifunzia??
Najua unafahamu kabisa kuwa wateja wako...
Kama wewe ni mfanyabiashara, na biashara yako imekua sana,unapata wateja wa kutosha online, unafahamu jinsi ya kufanya matangazo yanayorudisha faida , basi hii sio kwa ajili yako
Lakini kama unatamani kufikia hatua hiyo, basi nipende kukukaribisha ktk Free online Training nitakayoitoa kuanzia...
Marketing ina mchango mkubwa sana ktk kukuletea wateja na kuikuza biashara yako
"Marketing sio sales"
Wengi tunapenda na tunatamani kuuza, lakini tambua mteja hapendi kuuziwa
(Customers don't like to be sold,they like to be helped to buy)
Mteja anapenda asaidiwe kununua,.. Na hiyo ndiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.