Recent content by Mawenzi

  1. Mawenzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa Mouse ya laptop

    Ahsante sana Chief-Mkwawa. Nimefanikiwa. Ni Fn + F9 kwa key pad yangu. Thanks a lot wote mliojaribu kunisaidia. Ndiyo uzuri wa JF
  2. Mawenzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa Mouse ya laptop

    Mkuu nyantella, sijaona hiyo alama inayofanana na touchpad
  3. Mawenzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa Mouse ya laptop

    Ahsante Nyantella, nitajaribu kesho na nitakupa mrejesho. Nime-restart mara nyingi bila mafanikio
  4. Mawenzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa Mouse ya laptop

    Labda imejilock yenyewe accidentally
  5. Mawenzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa Mouse ya laptop

    Ni touchpad, nikiipapasa cursor haisogei Natumia Win7 professional
  6. Mawenzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa Mouse ya laptop

    Msituchoke jamani
  7. Mawenzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa Mouse ya laptop

    Naomba msaada: mouse ya laptop yangu haifanyi kazi. Nifanyeje???
  8. Mawenzi

    JamiiForums Tanzania Mashati ya vitenge kwa bei rahisi

    Tupiamo tupicha basi
  9. Mawenzi

    JamiiForums Tanzania Nijibu hesabu yangu ya kitoto wengi watafeli hapo

    Jibu ni 1
  10. Mawenzi

    JamiiForums Tanzania Niulize juu ya ugonjwa wako nikwambie tiba ya maji ya matunda za mboga za majani

    Kamanda kazi ni tapeli tu, hamna lolote!
  11. Mawenzi

    JamiiForums Tanzania Lowassa na Nyalandu wakutana Zanzibar

    Wake zao wote ni wanyaturu wa Singida
  12. Mawenzi

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kihistoria wa Kinana uwanja wa Mashujaa, Mayunga - Bukoba

    Tena hao wamesafirishwa toka mkoa mzima
  13. Mawenzi

    JamiiForums Tanzania Kukatika kwa umeme jiji la DSM

    We mbea sana! Ni teammuhongo
  14. Mawenzi

    JamiiForums Tanzania NSSF ipo taabani kifedha

    Hata huko hali ni hiyo hiyo
  15. Mawenzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inakuwaje napata walionizidi umri?

    Umekula maharage ya wapi wewe? Nenda kale malimao wewe !
Back
Top Bottom