Recent content by mawemeusi

  1. mawemeusi

    JamiiForums Tanzania Bashe: Albert Msando usitafute cheo kwa kupitia mgongo wangu, pambana na hali yako

    Unafiki mtupu mmeshimdwa kupigania wananchi waone bunge live,hili la utekaji na mauwaji utaliweza!!!Tumeshuudia mkuu anamwambia spika awashuulikie bungeni na yeye atafanya hvyo huku nje.So wewe unataka kufanya non hapo zaidi na wewe utashuulikiwa.Isitudanganye ccm wote lenu moja.
  2. mawemeusi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Viongozi wa CHADEMA wawazuie viongozi au wanachama kuudhuria mijadala Star tv

    Huwa napenda au najikuta napitia kuangalia kipindi cha tuongee Asubuhi. Napenda sana nikikuta mijadala ya kisiasa, siku za hivi karibuni nimeona watangazaji nao wakijigeuza wachambuzi na kuegemea upande mmoja. Mfano utakuta Mwanza sana mgeni kutoka CCM anayeunga mkono serekali na Dar es salam...
  3. mawemeusi

    JamiiForums Tanzania Hawa walitoka Jeshini wakagombea kupitia CCM!

    Iko siku watajiunga na hivyo vyama ndo utacheka ulie....
  4. mawemeusi

    JamiiForums Tanzania Lowassa wa CHADEMA: Mpinzani anayeunga mkono chama tawala nchini Kenya

    Hivi kumsaport mtu au chama ni lazima upande jukwaani? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mawemeusi

    JamiiForums Tanzania RC Gambo amjibu Lema kuhusu ubaguzi

    Vepeee wale wazee wakupenda Kikiiiiii kama wasaniiii
  6. mawemeusi

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Lema na Chadema:Diwani atakaye shirikiana na Gambo afukuzwe

    Naona Mkuu wa mkoa analeta siasa za Maji taka Arusha,kitendo cha kutompa Mh Lema kuwapa pole wapiga kura wake ni Cha kitoto na ushamba uliopitiliza. Ccm ilishakufa hapa Arusha siku nyingi nanikutokana na siasa zenu za ubaguzi naona hili somo hamjalielewa kwa nini Arusha hamkubaliki.Ndo maana...
  7. mawemeusi

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hatukubali matokeo EALA na tutakwenda mahakamani

    Eti na Msukuma Mzee wa bangi na mirungi
  8. mawemeusi

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hatukubali matokeo EALA na tutakwenda mahakamani

    Gwajima anoa ushaidi pia ukienda clouds Dana video ya bashite kuvamia studio.Sasa sijui unataka ushaidi gani.kianachotakiwa mtuumiwa aje akanushe kw a kuweka vyeti.
  9. mawemeusi

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hatukubali matokeo EALA na tutakwenda mahakamani

    We ndo unatokwa povuu nafasi mbili zimewapa kiwewe mpaka Jpm amefanya uteuzi was kise kukomoa cdm hahaaa number mtaisoma
  10. mawemeusi

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hatukubali matokeo EALA na tutakwenda mahakamani

    HV wabunge wa ccm ndo wanajua watu wenye sifa za kua mbunge wa EA?
  11. mawemeusi

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hatukubali matokeo EALA na tutakwenda mahakamani

    Vepee Mwenyekiti taifa mlichagua vip??eti demokrasia peleka ujinga uko
  12. mawemeusi

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hatukubali matokeo EALA na tutakwenda mahakamani

    Vepeee!mbona nyie Leo zinawauma walio miss jakaya wapooo
  13. mawemeusi

    JamiiForums Tanzania Siasa nyepesi:Kwa ccm other... Lakini kwa chedema wamechemka.

    Shikamooo Mbowe...... Hakija upande wao wanachekelea Sana, lakini akija upinzani wanabeza Lakini inawaingiaaa
  14. mawemeusi

    JamiiForums Tanzania RC Makonda ataka Spika Ndugai aanze utaratibu wa kupima wabunge kugundua watumiaji wa madawa

    Hivi waingizaji na watumiaji ni Nani anayestahili kukamatwa? Mtaani mateja wamejaa tuu kama kuwakamata ndo mtamaliza tatizo sidhani kama mtafanikiwa. Eti wabunge wapimwe!!! Hv unaweza kunilazimisha kupima kitu kwenye mwili wangu bila ridhaa yangu? Ni raha na burudani kuongoza watu wasio Tambua...
  15. mawemeusi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni unafiki mlishawahi kutangaza list of shame

    Me Nadhani wewe Ndo hujawaelewa.
Back
Top Bottom