mawemeusi
Member
- Oct 13, 2012
- 28
- 13
Naona Mkuu wa mkoa analeta siasa za Maji taka Arusha,kitendo cha kutompa Mh Lema kuwapa pole wapiga kura wake ni Cha kitoto na ushamba uliopitiliza.
Ccm ilishakufa hapa Arusha siku nyingi nanikutokana na siasa zenu za ubaguzi naona hili somo hamjalielewa kwa nini Arusha hamkubaliki.Ndo maana mnatulete Mkuu wa mkoa mbulula sijapatakuona.Sasa hapo ndo mnazani mnajenga chama?mtakaa sanaaaa
Chadema Arusha; diwani yeyote atakayeshiriki mikutano ya hadhara na huyu mbulula afukuzwe turudie uchaguzi upya.Wana Arusha huwa hatuyumbishwi.
SISI NI WALE WA NYEUSI NI NYEUSI NA NYEUPE NI NYEUPE NO PROPAGANDA.