Recent content by mawelewele

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe na wenzako itisheni kikao cha dharura na vyama washirika kujadili sintofahamu hii , msiogope kusulubiwa

    Bunge litakuwa 100 mafisiem,kwa kwa kuua na kutia vilema watu na sio kwa free and fair,hakiki na ww fukara ufukara wako utaongezeka Mara 100 over.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuotesha nywele kwenye kichwa chenye kipara

    hakika tatizo hili,limekuwa km ni kawaida kwa vijana wadogo,kutokwa na viparavmiaka ya karibu,tofauti na zamani ambapo MTU akiwa na kipara h uwa na umri Wa 50s,anayefahamu Dawa jamani,hebu njooni kwenye huu Uzi,ili mtoe msaada.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Josephat Lebulu ameng’atuka, nafasi yake kuchukuliwa na na Askofu Isaac Amani

    Kutokuoa in dhambi,kwani ni kupingana na maandiko,hii ya kutokuoa wakatoriki cjui waliitoa WAP.
  4. M

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU wanamsaka Beatus Malima, wakili wa Mawalla Advocates na mhadhiri wa Chuo Kikuu

    Uchunguzi Wa mjeti,kuhusu ununuzi Wa madiwani VP?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa usajili unaofanywa na CHADEMA, isahau kuchukua nchi

    katiba mpya
  6. M

    JamiiForums Tanzania Polisi FFU Ukonga nimewakosea nini? Nimepigwa mimi,mke wangu na Mama mkwe bila kosa lolote. Nifanyaje kuchukua hatua?

    Usiku uleule ilibidi uende polisi ulipoti, au nenda kwa kamishna kanda maalumu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya watumishi kuahidiwa kupandishiwa madaraja na mishahara, CHADEMA matumbo joto!

    Kujua kuhusu kuongeza mishahara rejelea kauli gongana, sizonje, mkuchika na Yule cheupe dawa aliyehamishiwa madini ndo utajua hawa jamaa, ni waongo na wamewafanya watumishi wa umma wapumbavu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Shao amfananisha Rais Magufuli na Robert Mugabe wa Zimbabwe... ataka watanzania tumuunge mkono!

    Dah! hapo hajamsifu Bali kamtukana, kwa anayeijua zimbanbwe ni tusi kubwa Sana hebu angalia uchumi wao kwa sasa, so akili ndogo wamedhani wamesifiwa na hata kurugezi ya mawasiliano kutoa appreciation.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya watumishi kuahidiwa kupandishiwa madaraja na mishahara, CHADEMA matumbo joto!

    mleta mada, lazima atakuwa mnufaika wa buku Saba Saba za wakoloni weusi ( ccm),maana ukishakuwa upande wa mkoloni lazma kila hoja utakayotoa ionekane kituko kwa great thinkers(sifa ya kujiunga huko lazima uwe taahira kwanza km bwana mkubwa wao)
  10. M

    JamiiForums Tanzania Juma Nkamia: Nimelazimika kuondoa kwa muda hoja yangu binafsi ya ukomo wa Urais

    Kimsingi ingefika bungeni ingepita tu, kimsingi hoja karib 99% zikifika bungeni hupitishwa na hasa za chama tawala.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Juma Nkamia: Nimelazimika kuondoa kwa muda hoja yangu binafsi ya ukomo wa Urais

    Kazi kujipendekeza alijua atapewa uwaziri?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Acheni Siasa: Serikali yaiambia TUCTA

    Tucta wote ni ccm, rejea katibu wa tucta taifa bwana msigwa ni kiongozi wa ccm iringa, so ccm ndo adui mkubwa kwa watanzania.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naungana na Rais, Watumishi wasiongezwe mishahara!

    **** LA mama ako, mtoa uzi
Back
Top Bottom