Kwa usajili unaofanywa na CHADEMA, isahau kuchukua nchi

Kumbe huko kwenye Chama cha mapinduzi kuna Watu wengi wachafu! Sasa swali imekuwa Chama cha mapinduzi kimekuwa kinashinda na Watu hawa Chafu lakini ambao wakihama Chama kinachowachukua kama wanachama hakiwezi kushika dola? Hoja hasa nini?
Si ndio maana hakupewa nafasi yoyote katika serikali. CCM inawajua watu wachafu na ikiwabaini hua hawapewi nafasi ya uongozi serikalini. Unaijua mifano lukuki.
 
Wakuu
kwa haraka na mshitukizo, baada ya Lazaro Nyarandu kuachia ngazi aliomba kusajiriwa na chadema, bila ajizi chadema kimesajiri

Kuanzia mtaani hadi mitandao naona watu wanashangilia usajili huu, ukweli mchungu usajiri wa watu calibler ya Nyarandu hautakisaidia chama kushika dola katika nchi hii

Kwa hali ya siasa ilivyo hapa nchini, chadema kinahitaji kusajili wanachama wasafi wasio na kando kando ya ufisadi

Kila mtu ni shahidi, humu leo baada ya kujitangaza tu Nyarandu amechimbwa sana na madudu yake aliyokuwa akiyafanya kipindi cha uwaziri wake yamewekwa wazi

Sasa kwa style hii chama kitakuwa kinatumia muda wake na nguvu nyingi kumnadi huyu mtu kama ilivyokuwa kwa waziri mstaafu Lowasa(angepaswa kuwa rais)

Chadema kiwe makini na usajiri wa hawa watu kama kweli kinania ya kuchukua dola toka ccm
Ukiwa mtu unayefikiri vizuri, utagundua CCM haifai. Yote yaliyofanyika ni kwa sababu ya "kanisa" alilokuwa anahudhuria. Huyu pamoja na maovu yake yaliyoibuliwa amejitambua. Furaha mwenye "dhambi" mmoja akitubu.
 
Simba walimsotesha sana Ajibu bench thamani yake wanaoina leo baada ya kusajiliwa Yanga.

Thamani ya Nyalandu inaonekana baada ya kuhamia Chadema.
Sidhani mkuu. Ataididimiza CDM kama alivyofanya Lowassa.
 
Hoja ni kwamba, ukiwa mwizi, ukivuliwa nyadhifa, ukiwa fisadi, unahamia chadema fastaaa wanakusafisha! Any thing more!??
Mahakama ya mafisadi ipo kwa ajili ipi? Mafisadi wote waliotajwa hakuna hata mmoja kashtakiwa huku wengine wakijinadi "jaribuni nikawashinde mahakamani!!!"
Nimegundua kwamba kuna CHAMA CHA MAFISADI sio watu fisadi.
 
Wakuu
kwa haraka na mshitukizo, baada ya Lazaro Nyarandu kuachia ngazi aliomba kusajiriwa na chadema, bila ajizi chadema kimesajiri

Kuanzia mtaani hadi mitandao naona watu wanashangilia usajili huu, ukweli mchungu usajiri wa watu calibler ya Nyarandu hautakisaidia chama kushika dola katika nchi hii

Kwa hali ya siasa ilivyo hapa nchini, chadema kinahitaji kusajili wanachama wasafi wasio na kando kando ya ufisadi

Kila mtu ni shahidi, humu leo baada ya kujitangaza tu Nyarandu amechimbwa sana na madudu yake aliyokuwa akiyafanya kipindi cha uwaziri wake yamewekwa wazi

Sasa kwa style hii chama kitakuwa kinatumia muda wake na nguvu nyingi kumnadi huyu mtu kama ilivyokuwa kwa waziri mstaafu Lowasa(angepaswa kuwa rais)

Chadema kiwe makini na usajiri wa hawa watu kama kweli kinania ya kuchukua dola toka ccm
You are not serious wewe
 
Kumbe unajua kingereza
Je Inawezekana mtu akathubutu kuihama CCM kama unayo hatia yoyote ya ufisadi uliowahi kuufanya kwa kivuli cha CCM huku Raisi huyu Mtukufu anakuangalia?

Ukijibu ndio utajua kwanini najua ki-inglish.
 
Inawezekana kuthubutu kuihama CCM kama unayo hatia yoyote ama kesi ama ufisadi uliowahi kuufanya kwa kivuli cha CCM huku Raisi huyu Mtukufu anakuangalia?
Atashughulikiwa tu
ni swala la muda
 
Atashughulikiwa tu
ni swala la muda
Atashughulikiwa na nani mwenye mikono safi?

Miaka inaenda., Je Lowasa alishashughulikiwa?

Mwakyembe aliyesema anatembea na ushahidi kwenye briefcase yake. Vipi ameipoteza ile briefcase yake?
 
Wakuu
kwa haraka na mshitukizo, baada ya Lazaro Nyarandu kuachia ngazi aliomba kusajiriwa na chadema, bila ajizi chadema kimesajiri

Kuanzia mtaani hadi mitandao naona watu wanashangilia usajili huu, ukweli mchungu usajiri wa watu calibler ya Nyarandu hautakisaidia chama kushika dola katika nchi hii

Kwa hali ya siasa ilivyo hapa nchini, chadema kinahitaji kusajili wanachama wasafi wasio na kando kando ya ufisadi

Kila mtu ni shahidi, humu leo baada ya kujitangaza tu Nyarandu amechimbwa sana na madudu yake aliyokuwa akiyafanya kipindi cha uwaziri wake yamewekwa wazi

Sasa kwa style hii chama kitakuwa kinatumia muda wake na nguvu nyingi kumnadi huyu mtu kama ilivyokuwa kwa waziri mstaafu Lowasa(angepaswa kuwa rais)

Chadema kiwe makini na usajiri wa hawa watu kama kweli kinania ya kuchukua dola toka ccm
Mahakama ndiyo inaweza kusema kama mtu ni fisadi ama hapana. Mlisema hivyo kwa Lowasa lakini mpaka leo hajafikishwa mahakamani
 
Back
Top Bottom