TAKUKURU wanamsaka Beatus Malima, wakili wa Mawalla Advocates na mhadhiri wa Chuo Kikuu

Kiki on flow unatangaza kumtafuta mwalifu si atajificha waache ujinga ishu zingine hata mtoto wa LA sita hafanyi
 
Atoe usirikiano ili iweje, atapunguziwa mashitaka?

Ridiculous. Do your job.
.
 
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wametangaza kumtafuta Beatus Malima ambaye ni mhadhiri wa Chuo Kikuu kitengo cha sheria na pia ni wakili wa kujitegemea katika kampuni ya mawakili ya Mawalla iliyopo Dar kwa tuhuma mbalimbali zinazohusiana na rushwa

Afisa Uhusiano wa TAKUKURU, Musa Misalaba amesema mwanzo walikuwa wakimhoji na akawa anatoa ushirikiano lakini baada ya muda akawa hatoi tena, atakayefanikisha kukamatwa kwake atapewa zawadi



Chanzo: Millard Ayo

Hawa nao isije ikawa kama yule muhasibu wao siku ya pili akakanusha yakuwa hajakimbia.
 
Back
Top Bottom