Recent content by mawazoni

  1. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Sorry Buzuruga ipo mwanza town
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    buzuruga na nyasaka smart 4n ukiweka voda ni worse. mwezi wa pili tunadaka E badala ya 3G au H. Kulikoni??? hamna tunachopata zaidi ya bando kuexpire bila kutumika.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Mi natatizo la kuchelewa kufikia lengo. Sometymz mpaka nafumaniwa. Bro naomba tubadilishane ugonjwa kama vp.
  4. M

    JamiiForums Tanzania msaada.nililala ktk traffic lights

    jaman nsaidien kesi bado mbichi npo police cjalewa ila kutokana na uchovu nmelala kwenye mataa na ktk wallet nina buku tano tu. police amenipeleka officin kwake. adhabu alali kwangu ni ipi?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada - Gharama ya Kujenga Nyumba Hii..!!

    Nmeipenda hii. Kuna fundi yeyote anaweza nshushia huu mjengo?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lcd au led tv inches 28-32" inahitajika

    Inapatkana mkoa upi? ipo mtumba 32 inch ila ina hali nzuri laki nne na nusu yani ukiiona hutokataa! 0712212220
  7. M

    JamiiForums Tanzania Samsung lcd 32inches for sale

    tujibu basi unakuaje?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Samsung lcd 32inches for sale

    iko mji gani?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wallpapers za Sebuleni

    Hizo je zimekaaaje mkuuu mawazoni. zmekaa kibunifu mkuu. nmezkubar
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wallpapers za Sebuleni

    by red giant nmependezwa na roho yako. nahsi una cha ziada natakiwa kujifuna toka kwako
  11. M

    JamiiForums Tanzania HTCs and Galaxys for sale

    mi yangu ya zaman nlinunua mwez wa kwanza galaxy S2 naipeleka kwa soko kwa 450,000 atakae penda poa namuachia. negotiations ruksa kwa watakao ni PM
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wallpapers za Sebuleni

    networker. upo sawa mkuu hii ni changamoto kwa wafanyabishara we2 nahis wanauza vitu wanavyotaka wao. sio tunavyotaka sisi WATEJA WAO.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wallpapers za Sebuleni

    zipo mkuu, toa specification zako. kama vile maneno ya aina gani, michoro n.k Znapatkana wap? Napendelea maua na michoro isiyo chosha kama pics hizo hapo juu zinavyojionyesha.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wallpapers za Sebuleni

    zipo mkuu, toa specification zako. kama vile maneno ya aina gani, michoro n.k
  15. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wallpapers za Sebuleni

    Mjengo upo mwz.
Back
Top Bottom