Rhesus ni aina ya antigen ambazo hupatikana kwenye chembe chembe nyekundu (red blood cells) za watu wenye Rh+ blood group. Hivyo watu hawa hawana Antibody kwenye damu yao dhidi ya Rh positive antigen.
Watu wenye Rh -ve blood group hawana hizi antigen, hivyo wakiwekewa damu kutoka yenye Rh +ve...
Rhesus ni aina ya antigen ambazo hupatikana kwenye chembe chembe nyekundu (red blood cells) za watu wenye Rh+ blood group. Hivyo watu hawa hawana Antibody kwenye damu yao dhidi ya Rh positive antigen.
Watu wenye Rh -ve blood group hawana hizi antigen, hivyo wakiwekewa damu kutoka yenye Rh +ve...
Nadhani cha msingi ni kuangalia ni aina gani ya huduma anazotoa na kama amepata mafunzo na anapata uhalali wa kisheria.
Hoja iliyotolewa kuwa kuna mtu hakuwa na mtoto na kapata mtoto sidhani kama ni hoja ya kusema kwamba dawa ilifanya kazi, ikiwa mwenye tatizo ni mwananume na huyo mama akapata...
Ni mtazamo mzuri, ila sifahamu kama uliangalia course content za commuinty health course katika hiyo mitaala.
Prof Yongolo alikuwa mmoja wa wajumbe waliokuwa kwenye majadiliano, na pia ni miongoni mwa madaktari waliokwenda kumuona Rais ikulu.
Napenda kukukumbusha kuwa mshahara wa Dr mwaka 2005...
Hili ni jambo gumu ambalo linahitaji kujadiliwa kwa umakini.
Ni kweli kwamba serkali ilikaa na madaktari kujadili juu ya madai yao, na kutekeleza baadhi, lakini ni vizuri kujiuliza waliyatekeleza hayo madai kwa hiari au kwa kushinikizwa, maana baada ya kuwa na mgomo wa muda mrefu ndiyo walikuja...
Una uhuru kuwa na mtazamo wako lakini kuna vitu unachanganya.
Zahanati (Dispensary) zinastahili kuwa na clinical officers ambao wana diploma.
Vituo vya afya (health centres) zinatakiwa ziwe na AMO ambao wana advanced diploma pamoja na clinical officers.
Hospitali za wilaya zinatakiwa ziwe na...
Nadhani kuwadhihaki na kuwatukana haitatusaidia, walijaribu kutuonesha kuna matatizo na hayo matatizo yako katika sekta zote nchini. nachukulia huko kama tu kutukana wakunga.............
Nadhani waliowahi kuhitaji huduma za hospitali zetu wanajua hali ilivyo mule ndani, bado kuna upungufu na...
Ni ukweli usiopingika kuwa viongozi wetu ni wabinafsi, na yaliyomkuta Rais wa Malawi yatawakuta na hawa wa Tz pia, kwa sababu kwa uelewa wao mfupi wamedumaza viwango vya huduma katika hospitali zetu, kuanzia katka ngazi ya zahanati mapaka hospitali ya Taifa.
Hospitali ya Taifa sasa hivi...
Sitaki kukubishia kwa hiyo hoja unayoleta kwa kuwa watanzania wanaoumwa katika nchi yetu wanatibiwa na ward attendants, ambao wako huko kwenye maeneo ya vijijini (aslimia karibu 70 ya population yetu iko huko).
Kwa hiyo mtanzania wa kawaida akipata nafasi ya kutibiwa na cardiothoracic surgeon...
Machine moja ya dialysis ni kati ya dola 10,000-20,000. Kimsingi hata machine saba zilizopo Muhimbili serkali haikununua tulipewa msaada na Prof mmoja wa Norway, ni machine ambazo zilikuwazimeshatumika huko ndiyo wakatupa huo msaada, zilikuja kwetu 7, lakini kwa kuwa hazikutunzaw vizuri na...
KUNA TOFAUTI KATI YA SPECIALIZATION NA SUBSPECIALIZATION!!!
Huyo Dr alikwenda nje kufanya specialization katika magonjwa ya akina mama, kabla ya kuondoka alikuwa idara ya upasuaji kitengo cha plastic surgery, aliporudi masomoni kama Dr bingwa wa magonjwa ya kina mama idara ya hayo magonjwa...
Bugando, KCMC na Mbeya hospitali ya rufaa hao wataalamu hawapo mkuu!!!
Labda kama kukufanunulia ni kwamba nchi yetu ina madaktari watatu tu wa magonjwa ya figo na wote wako Muhimbili. Ila huduma za dialysis ambayo ni machine za kusafisha damu ambazo zinafanya kazi badala ya figo ziko Muhimbili...
Ni ukweli siku za karibuni kuna ongezeko la madaktari bingwa, na wengi waliongezeka sio wale wa subspecialization (kwa maana waliobobea katika fani mbali mbali). Kwa hiyo usione Madr wanaonekana wengi Muhimbili ukadhani ni wengi sana nchi hii kwa maana ya maeneo yake mengine na hospitali za...
Nadhani tunachosema hapa sekta yetu ya afya in mapungufu sana, na sidhani hao madaktari kuwepo kwenye hospitali binafsi wanapatikana kwa waTz wote.
Hii i baadhi ya hizo hospitali za rufaa zilizopandiswa;
Hospitali ya rufaa Rukwa ina specialist mmoja ambaye ni General surgeon.
Hospitali ya...
Dr Masau sio cardiologist, ni cardiothoracic surgeon..!!!!
Kuna madaktari wana tibu wagonjwa wenye matatizo ya moyo hiyo haifanyi wao wawe cardiologists. Aliyeko hospitali binafsi ni huyo mmoja tu. Hao unaowataja ni madaktari bingwa lakini sio wa moyo.
Labda nikufafanulie ili uwe cardiologist...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.