Recent content by Mawazo John

  1. M

    Waziri Kalemani, unajua kuwa kwasasa mgawo wa umeme umepamba moto kuliko ilivyokuwa mwanzo?

    Unaishi Dar ya wapi ww? Kwetu umeme mbona wa kutusha muda wote na sikumbuki hata mara ya mwisho ulikatika mwezi gani!! Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni jamani kwa kweli TANESCO wanajitahidi saana kwa sasa huenda kuliko vipindi vingine vyote vya nyuma. HONGERENI TANESCO[emoji1433][emoji1433]
  2. M

    Serikali kufanya biashara kutaiathiri Maximalipo na Celcom

    Soko limebadilika imefika wakati wawe wabunifu kubuni vyanzo vyanzo vipya vya mapato kuzuia kampuni zao kudondoka
  3. M

    Hivi umeme umepanda bei?

    Hapana umeme haujapanda bei pitia hapo kujiridhisha zaidi mkuu
  4. M

    Nini kinacho Endelea kigamboni na Mgao wa Umeme???

    nadhani hili litakuwa ni tatizo dogo la muda mfupi tu maana syo siri TANESCO kigamboni wanajitahidi siku hizi umeme unakwepo muda mwingi si kama zamani
  5. M

    Je, hili la TANESCO siyo "utapeli"?

    Je ukiimiliki wewe, line ikaharibika aidha nguzo zimezolewa na maji ama upepo au transfoma kuungua utaingia garama za matengenezo mwenyewe?? Ndio maana Tanesco wanamiliki line ili yakitokea hayo yote wao wanagaramia
  6. M

    Je, hili la TANESCO siyo "utapeli"?

    Ndugu Hashm! Tanzania yetu hii ni nchi kubwa yenye takribani kilomita za mraba laki 9 na nusu ambazo ni ngumu kwa tanesco kusambaza miundombinu ya umeme katika eneo lote hili kwa wakati mmoja na pia kama inavyoeleweka hili ni shirika la kibiashara hivyo moja kwa moja lilianza kusambaza umeme...
  7. M

    TANESCO Tangi Bovu Mbezi beach tumewachoka

    Mbona mm nimelipia na nimeshafungiwa tayari mbezi makonde
  8. M

    TANESCO inagawa units 700 za umeme kwa wafanyakazi

    Mkisema Tanesco wanalipana bonus hilo ni jambo la kawaida haswa kama hali ya shirika kifedha inaruhusu kwasababu wao wanafanya biashara wanaingiza pesa. Pia taratibu za kulipa posho kama sehemu ya allowance ni utaratibu wa kawaida ukienda kwenye mawizara kuna kitu kinaitwa EDA, baadhi ya Taasisi...
  9. M

    TANESCO inagawa units 700 za umeme kwa wafanyakazi

    Inaonekana Mtoa post una ajenda yako bonafsi. Hilo ni suala ambalo liko wazi kabisa kwenye ofisiza umma mpaka binafsi Ukifanya kazi Tbl baada ya muda wa kazi unapewa bia kadri utakavyo Ukifanya kazi cocacola na pepsi hivyo hivyo soda ww ni bure unapewa utakavyo kunywa Ukifanya kazi kwenye...
  10. M

    Jengo la Makao Makuu ya TANESCO Ubungo kubomolewa wakati wowote kupisha ujenzi wa 'Interchange'

    Atakayejenga jengo lingine in serekali hyo hyo kupitia kodi zetu
  11. M

    Serikali, mhakiki vyeti vya TANESCO na wanaotumia majina ya wengine waondolewe

    Mambo yote Tanesco naona yako wazi huwa hakuna siri pale Pdidy
  12. M

    Ajabu: Serikali ina hisa 10% tu katika Mradi wa Kinyerezi III

    Hyo ni Kinyerezi II na I mkuu ndio zinamilikiwa na serekali ya Tanzania kupitia TANESCO kwa 100% ila hii Kinyerezi III Serekali ina 10% kampuni ya kigeni hyo 60% na hizi hizo 30% zinazobaki tayari zimeshakwenda kwenye Soko La hisa ili mchakato wa Wazawa kuzinunua uanze!
Back
Top Bottom