Hivi umeme umepanda bei?

Hivi umeme umepanda bei?

Haujapanda
Mm nilikuwa na huu ugonjwa wa kuchangia kila thread. Kabla ya kuchangia thread uwe unaangalia ya muda gani. Utakuja kuchangia ya mwaka 2008 halafu huyo mtu aliyetoa thread keshakufa
 
Taarifa hii ni muhimu uijue sasa kwani ndicho kimeanza sasa na Tanesco inafafanulia wateja sasa kuhusu kulipia manunuzi ya umeme chini ya mfumo mpya wa ununuzi was umeme.
 
Umesoma uzi ni wa mwaka gani? Ukilijua hilo wala haina haja ya kujibu thread sbb ilikuwa inataka majibu kipindi kile siyo sasa.
 
Back
Top Bottom