Nini kinacho Endelea kigamboni na Mgao wa Umeme???

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
1,704
2,363
Habarini ndugu & jamaa wa JF.

Niliwahi kuishi kigamboni kwa miaka 3 na miezi kadhaa.... kwa kipindi hicho umeme ulikuwa unakatika sana hakuna mfano, pia ulikuwa unakawia kurudi...... kwa wiki, wastani wa umeme kukatika ilkuwa kama mara 16/wiki.

Sasa nimekuja huku kama wiki mbili zilizopitz nakuta bado tatizo lipo palepale... tena ndo unazidi kukatika sana...
Najiuliza viongizi wa TANESCO hawaoni aibu kwa hili suala, maana sehemu nyingine za nchi umeme umeboreshwa kiasi fulani lakini huku kigamboni hakuna chochote.

Hata kama niundo mbinu mibovu lakini sio hoja hii kwani hawakusanyi mapato ili wakalabati hiyo miundo mbinu????

Pia wakazi + wafanya biashara wa Kgmboni wanakua waoga kupadha sauti zao huenda mkulu wa nchi anaweza kusikiliza maana yeye ndo mwenye uchungu na nchi yetu.

Kumbuka viongozi wa kigamboni, kuanzia kuu wa wilaya hadi mbunge hawaishi huku.... pia hakuna kiongozi mzito anaeishi huku labda ndo kinaweza kuwa chanzo cha hili tatizo....

Asanteni, kheri ya mwaka mpya.

Leo nipo dar keshokutwa ntakuwa Nairobi
 
Da kweli hali imezidi kuwa mbayaaa mnooo
 
nadhani hili litakuwa ni tatizo dogo la muda mfupi tu maana syo siri TANESCO kigamboni wanajitahidi siku hizi umeme unakwepo muda mwingi si kama zamani
 
Aisee yaan leo nimetoka asubuhi sijanyoosha shati kabisa...
Hawa jamaa wanazingua sana kama jana ilikua 5mins wanakata then wanarudisha
Nyamwazi kabisa hawa bado waunguze fridge yangu
 
Nahic kutakuwa na wanafunzi wa field.. wanajifunza kuwasha & kuzima
 
Habarini ndugu & jamaa wa JF.

Niliwahi kuishi kigamboni kwa miaka 3 na miezi kadhaa.... kwa kipindi hicho umeme ulikuwa unakatika sana hakuna mfano, pia ulikuwa unakawia kurudi...... kwa wiki, wastani wa umeme kukatika ilkuwa kama mara 16/wiki.

Sasa nimekuja huku kama wiki mbili zilizopitz nakuta bado tatizo lipo palepale... tena ndo unazidi kukatika sana...
Najiuliza viongizi wa TANESCO hawaoni aibu kwa hili suala, maana sehemu nyingine za nchi umeme umeboreshwa kiasi fulani lakini huku kigamboni hakuna chochote.

Hata kama niundo mbinu mibovu lakini sio hoja hii kwani hawakusanyi mapato ili wakalabati hiyo miundo mbinu????

Pia wakazi + wafanya biashara wa Kgmboni wanakua waoga kupadha sauti zao huenda mkulu wa nchi anaweza kusikiliza maana yeye ndo mwenye uchungu na nchi yetu.

Kumbuka viongozi wa kigamboni, kuanzia kuu wa wilaya hadi mbunge hawaishi huku.... pia hakuna kiongozi mzito anaeishi huku labda ndo kinaweza kuwa chanzo cha hili tatizo....

Asanteni, kheri ya mwaka mpya.

Leo nipo dar keshokutwa ntakuwa Nairobi
Wafia legacy wanasema wakati wa mgao uliisha!.Sasa mama eti ndiyo kaurudisha.
 
Back
Top Bottom