Recent content by Mausingizii

  1. M

    JamiiForums Tanzania Home decors

    Ahsante sana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Home decors

    Habari zenu wakuu ,samahani naomba kuuliza wapi nitapata chimbo la urembo wa ndani maua, saa na kikorokoro vyote kwa kwa kariakoo ili na mm niuze huku niliko ? Natanguliza shukrani
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaotaka kuikopesha serikali kwa hati fungani

    Ni kuanzia kias gn unaweza ikop3sha serikali?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Satini maua na English satin zinapatikana wapi?

    Habari waungwana ,natamani kujumuika katika biashara ya uuzaji wa vitambaa hivi vya wakina mama ambao umeshamiri na mita moja inauzwa sh 5000 Niko Dodoma, mwenye uzoefu na biashara hii na mahali wanapochukulia naomba muongozo
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maumivu ya Usaliti: Safari yangu ya kutafuta amani baada ya miaka 12 ya ndoa

    Pole sana ifike hatua jinsia zote ziyatambue maumivu ya usaliti usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwingine Moyo wa kike na kiumeni vyote vimeumbwa na ego
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume 'players' wana nguvu ya hoja kiasi kwamba mwanamke hapangui mbele yake

    Mmh unachoongea kina ukweli au unajipigia debe ,good boys kuwapata siku Hz imekuwa kazi Hadi tunatoka sadaka na kufunga
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempa ujauzito msichana nisiye na malengo naye

    Hebu kuwa muungwana usiharibu maisha ya watu halafu baadae uje kuponda ma single mothers, Yaliyotokea yameshatokea chukua majukumu kama mwanaume pambana kwani kusoma ndio nn, Tatizo uvulana bado unakusumbua unataka vilivyogharamiwa ,kujituma huwez
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ndege JOHN nakupa mchongo uufanyie kazi, deal na breakfast ya vyakula vya asili

    Tena hii idea ikuuweka kwenye sehem za kitalii tutapiga pesa sana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Parachuchi kupukutika

    Nenda maduka ya pembejeo wanaweka wakakupa ABC wakat bado tunasubir watu kurespond
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamini wanaume hawaaminiki

    Isaka alitoa Rebeka tu wapo wengi tu ngj nisome vizur bible nikuoneshe kwamba kupanga ni kuchagua
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amemchoma Mke wake wa zamani ili afukuzwe kazi. Je, kakosea?

    Hajatumia akili kwasababu huyo ni mama wa watoto wake ,vp akikwama anadhan huyo mkewe mwingine atasapoti watoto wake na Jenifer, nadhan angemshukuru Jenifer kwasababu licha ya kusalitiwa aliendelea na maisha yake kimya ,alichotakiwa kufanya ni kumuelewa kwasababu moyo wake ulijeruhiwa
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani ni sababu ya migogoro kati ya mwanamke na mwanaume?

    Michepuko
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DR. Ayoub Ryoba bado anaendelea kudeka TBC au kapatiwa wasaidizi wenye uwezo na akili kumzidi?

    Hili jukwaa limekua la vijembe na taaraby na si hoja Sasa
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachungaji wengi wa kileo wanapotosha masomo ya ndoa akiwemo pastor Tony

    Ww mwenyew kabla hujamkosoa huyo pastor jikosoe maana una shida kwenye akili Yako na pia hujiamini. Jiamini kwanza halafu ndo ufanye maamuzi
  15. M

    JamiiForums Tanzania Migahawa ya kigeni Dodoma

    Dooh hii mbn wabongo ndo wamejaa humo 😂
Back
Top Bottom