Recent content by maula mrs

  1. maula mrs

    UNATAKA KUPANGA AU UNAPANGISHA?...hii inakuhusu

    Kuna chumba na sebule choo ndani na kijiko kidogo haina fensi.Ipo kimara kona kituo cha pili toka ubungo.Ipo barabarani.Bei 120,000/= kodi miez sita ukiitaji pm
  2. maula mrs

    Katiba Mpya: Kakobe aungana na Wapinzani Jangwani

    Enyi wanadam jichungeni ndimi zenu kuwanena mabaya wa2mishi wa Mungu..hata kama kunaanalokosea sio jukumu lenu kumnyoshea vidole muachieni aliye mwita atamuhukumu Mwenyew.Mungu ana namna yake ya kudeal n watu wake ebu tumwachie Mwenyewe.Tukumbuke kilichowapata Miriamu na Haruni walipomnena...
  3. maula mrs

    Samaki samaki samaki

    Tunauza samaki wazuri sn toka kanda ya ziwa,sato na sangara.Tunauza jumla na rejareja na bei zetu ni nzuri sana.Tupo kimara mwisho tunatazamana na stand ya magari ya kwenda mjini.Kuanzia kg 10 tunakuletea popote ndani ya dar.0758/0717373037
  4. maula mrs

    Samaki samaki samaki

    Habari wana jamvi!Kwa wale wapenzi wa samaki karibuni samaki wa maji baridi sato na sangara.Tunauza jumla n rejareja.Tupo kimara mwisho tunatazamana na stand y magari ya kwenda mjini.Bei zetu ni nzuri sn karibuni.0758/0717373037
  5. maula mrs

    natafuta kiwanja morogoro

    Mkuu check pm yako
  6. maula mrs

    Virutubisho kwa watoto umri Miezi 6 hadi Miaka 5

    Mkuu 2meku2mia pm but no respond
  7. maula mrs

    PICHA:Laptop inauzwa 250,000 Tsh(negotiatable)

    kkaka weka mawacliano
  8. maula mrs

    Naombeni ushahuri nina laki saba nifanye biashara gani, maisha kusaidiana jamani,

    mkuu ebu tuwasiliane nami nahitaji mtu wa kushirikiana nae 0717373037
  9. maula mrs

    Mbowe: SMG bastola zilitumika Arusha

    nchemba baada ya maisha haya mafupi kuna maisha ya milele
  10. maula mrs

    Website designing,website hosting and domain registration

    mkuu unafundishia sh ngap na uko wapi?weka mawacliano yako sio wote tuko active kweny pm
  11. maula mrs

    Msaada wa chumba cha kupanga

    mkuu weka bei na no ya cm
  12. maula mrs

    Msaada wa chumba cha kupanga

    mkuu weka bei na no yako ya cm
  13. maula mrs

    Chumba na sebule self kinapangishwa

    Chumba self na sebule na jiko pia kuna choo cha nje kwaajili ya wageni.Kimara baruti nyumba zinazotazama morogoro road.150,000/=kwa mwezi,kodi ya miezi 6. 0758373037
  14. maula mrs

    Chumba cha kuishi kinapangishwa maeneo ya Riva Side

    mkuu nimeku pm kimya tuwacliane kupitia no 0717373037
Back
Top Bottom