chapachapa
Member
- Jan 14, 2013
- 93
- 21
Chumba kimoja cha kuishi kina maji na umeme fence jirani na barabarani... kinapangishwa 60,000/= kodi miezi 6 angalizo SIO KWA FAMILIA KUBWA LAZIMA AWE SINGLE yaani hajaoa au hajaolewz mwenye kuhitaji PM tafadhali