Recent content by Mau Mau

  1. Mau Mau

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni muhimu Zelenskyy kuvaa suti White House ila sio viongozi wengine?

    Na Putin akiipata Ukraine kwa zile raslimali itakuwa tajiri kuliko na Putin anamezea mate kile Trump anachokitaka lakin NATO na Biden walizuia hilo lakin mzee wa madili Trump anazitaka
  2. Mau Mau

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Baraza la Maaskofu TEC juu Paroko na Mauaji ya Albino unaashiria nini?

    Jidanganye 😆😆😆
  3. Mau Mau

    JamiiForums Tanzania UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

    England wameshindwa kumkeep Kane mbele anadrop sana chini. Wanahitaji Palmer pale wamalize mchezo
  4. Mau Mau

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Reinhard Bonnke: Mhubiri aliyetikisa dunia

    Halafu anaibuka chawa mmoja Leo eti Nyomi ya Buldozer ni rekodi haijawahi kufikiwa Na muhubiri yoyote nchini Tz
  5. Mau Mau

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Paroko katajwa kimakosa kifo cha Albino, Polisi Mtawaambia nini Watanzania?

    Tutawaambia nini waumini wetu
  6. Mau Mau

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Paroko katajwa kimakosa kifo cha Albino, Polisi Mtawaambia nini Watanzania?

    Maana yake alikuwa Paroko mpaka ana Naini ka Kwenye Uhalifu huo Na sio zile blahblah eti oooh mraibu sijui nini Ushuzi mtupu
  7. Mau Mau

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki tuondoleeni utata huu. Mtuhumiwa wa mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi ni Padri au siyo?

    Kwani Kanisa ndiyo limeua??? Aliyehusika Na MAUAJI Acha apambane Na Hali yake.
  8. Mau Mau

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Paroko katajwa kimakosa kifo cha Albino, Polisi Mtawaambia nini Watanzania?

    Sasa ulitaka Polisi wakawapangie mahali pa kuwapeleka??? Paroko ametuvua Nguo tuchutame tu wadau
  9. Mau Mau

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Baraza la Maaskofu TEC juu Paroko na Mauaji ya Albino unaashiria nini?

    Wamba sound saaaana.. Mara oooh sio paroko ni mraibu.. Mara alikuwa paroko miaka 7 ilopita.. Mara oooh ni paroko MSTAAFU.. Tutaona mengi
  10. Mau Mau

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Baraza la Maaskofu TEC juu Paroko na Mauaji ya Albino unaashiria nini?

    Sio kawaida Na hasa Kwa tukio gumu la kinyama Na kufedhehesha tena likimuhusisha anayetajwa kuwa ni Padre wa Kanisa Katoliki huko MKOANI Kagera. TAARIFA Mbao zimekuwa nyingi sana Kanisa linawajibika kuweka Sawa hali halisi ilivo. PIA SOMA - Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko...
  11. Mau Mau

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki tuondoleeni utata huu. Mtuhumiwa wa mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi ni Padri au siyo?

    Yaaani Huyo Polisi apambane kumbaini mhalifu mpaka kafanikiwa kuwakamata tena Wakiwa Na viungo, badala aendelee kukomaa apate ushahidi wa kutosha juu ya Uhusika wa watuhumiwa hao Na MAUAJI ya Mtoto wetu Asimwe aanze kuwa busy eti ni Padre Au sio Padre huu ni utahira!! Kwasisi tuliowahi...
  12. Mau Mau

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Paroko katajwa kimakosa kifo cha Albino, Polisi Mtawaambia nini Watanzania?

    Punguzeni Utaaahira
  13. Mau Mau

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

    inaonekana Wanyarwanda moo Wengi sana mwenye nchi yetu
  14. Mau Mau

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

    Mkuu kwani Katiba yetu inasemaje juu ya uteuzi wa nafasi za juu na issiue ya Uraia?
Back
Top Bottom