Recent content by matwe

  1. matwe

    Wauza smartphone tukutane hapa

    nauza laini ya tigo pesa airtelmoney na vodacom kwa mawasiliano 0784608037 simu yangu sio ya smart phone nipigie tuelewane nipo dsm
  2. matwe

    Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    inawezekana wahariri wote wameambiwa kimya.
  3. matwe

    Maswali kwa mzee Edward Lowassa

    tutampa ngoja kwanza tuiondoe ccm madarakani najua atakuja upinzani.
  4. matwe

    Maswali kwa mzee Edward Lowassa

    tutampa ngoja kwanza tuiondoe ccm najua atakua upinzani.
  5. matwe

    CCM yazidi kujikaanga yenyewe

    Anajua kuhusu magari ya mwendo kasi.
  6. matwe

    Rostam naye sasa rasmi CHADEMA

    Jamani naombeni kuuliza wakuu. nasikia dr. slaa kaludi ccm ni kweli?
  7. matwe

    Mtandao wa Airtel sasa wanatuibia wateja wao bila woga

    Kwa kweli airtel wahudumu wake wanadhalau sana sana sana tena sana mimi airtel nina miaka 17 toka celtel ila hawa wa sasa hapana pangekua wanaweza wakabadilishana na voda au tigo mwezi mmoja tu wangenyooka ukipiga simu wakipokea same time wanakata wakipokea kama hamuelewani nao wanakwambia...
  8. matwe

    GE2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

    Jamani sio ataondoka ccm yaani hawataichagua ccm watamchagua kiongizi wa chama chochote, yeye alishasema asiempenda ccm aondoke.
  9. matwe

    Natafuta msichana mwenye VVU

    Mbona kawaida mkuu ndio maana ya mitandao ni kusaidiana kuelimishana nk anataka aoe kabisa.
  10. matwe

    Msaada: Kukatwa mguu inagharimu kiasi gani Muhimbili?

    Nenda Kibaha nasikia kuna mtaalamu utapona.
  11. matwe

    Wamembaka mke wangu, nimeona niachane nae tu

    Huyu mwanamke pamoja na kusachi simu zake lazima alikua na cheap yenye simu nyingini anaicha sehemu kama sio kazini ktk ofisi za biashara zake na kuhusu mitandao ya kijamii atakua alifungua jina lingine kabisa,mkuu mungu anisamehe lakini kwa uwamuzi unaoufanya mimi nakuongezea akufai hata kidogo...
  12. matwe

    Makongoro Nyerere aaga mbio za Urais, ajikaanga kwa mafuta yake

    Na nyerere alikua havai jezi ya ccm!
Back
Top Bottom