Recent content by Matumaini

  1. M

    Tupunguzeni israfu na tuwasaidie maskini

    Nimeipenda mada. Imekaa neutral na inakumbusha wanadamu wote pasipo kujali dini zao japokua mifano ilotumika ni ya waislamu sisi wote tunaelekea njia moja
  2. M

    Msaada: Biashara ya uwakala wa LUKU

    Habari wana JF! Naomba nifahamishwe kuhusu taratibu za kufuata ili kuwa wakala wa Luku. Pia malipo kati ya wakala na Tanesco yapo kwa utaratibu gani. Pamoja na experience mbalimbali za wajasiriamali wanaofanya biashara hii. Natanguliza shukrani
  3. M

    Kiwanja Kipya Cha Burudani-Mbagala.

    Sipati picha siku za sikukuu kama Xmas,Eid nk patakuaje... wataweza kudhibiti idadi ya watoto watakaoingia au watakua 'kimauzo zaidi'...ni angalizo tu
  4. M

    Chanzo cha ajali ya Delux Bus Service ni kupasuka tairi au mwendo kasi?

    Tairi kupasuka inaweza kuwa mwendo kasi,kiwango cha tairi n.k. Vipi kuhusu basi kuungua moto? Mbona mengine yanapata ajali hayaungui? Naomba wataalam wa magari watusaidie hapa.
  5. M

    Taarifa hizi za mauaji zinafichwa kwa manufaa ya nani?

    Kama ni kweli au uongo tutajua baadae....lakini tunachojua kwa uhakika ni kuwa vyombo vyetu vya habari vingi ni legelege kwenye kutoa taarifa. Yaani ni kama wanaombaga ruhusa kutoa au kutotoa habari. Mfano tukumbuke ilivyokua majuzi kwenye ajali ya boti Unguja...ilichukua masaa mangapi kuanza...
  6. M

    nyumba inauzwa arusha

    Aspen,hiyo nyumba iliyo kwny lenta ina vyumba vingapi? Pili,kiwanja kina hati?
  7. M

    Natafuta mchimba kisima

    Asante Simba D, ngoja niwacheki
  8. M

    Natafuta mchimba kisima

    Asante ndugu..nitajitahidi kwenda hapo Ubungo Maji
  9. M

    Natafuta mchimba kisima

    Natafuta mchimba kisima kwa ajili ya nyumba yangu Kigamboni. Naomba mwenye contacts za kampuni / mtu anayechimba anipatie. Natanguliza shukrani
  10. M

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Mkuu umechambua kiukweli kabisa. Tatizo watu wanapenda kukwepa ukweli kuwa speed ndo chanzo kikuu cha ajali. Bado tupo mbali kwenye kuziheshimu sheria za barabara,hizi ajali hazitushtui kabisa. Mi ningeshauri mabadiliko ya hii sheria ya barabara,watu wafungwe tu na adhabu ya faini iwe kwa makosa...
  11. M

    Golf ya polisi inaposukumwa na mtoto

    Ivi hiyo ni Golf au Hyundai? Au ndio kiswahili cha kuita kalamu ''BIC''?
  12. M

    mtaka cha mvunguni????????

    Cheusi..mbona hilo gauni la msanii linafanana sana na avatar yako? Hasa huko kuwaka waka...au ni picha yako halisi?
  13. M

    House for rent

    Mkuu,mbona hii nyumba ina rent mbili tofauti? Ni laki tano au laki tano na nusu?
  14. M

    Barabara ya kifo - World's most dangerous road - Bolivia

    Kusafiri njia hii inabidi mtu uwe na parachuti aisee..gari ikiporomoka unaendelea na parachuti...
  15. M

    Mti ufukuzao mbu

    Mkuu akhsante kwa habari njema. Tutautafuta huo mti wa maajabu. Kwa upande mwingine nawaza hawa watu wa kampeni ya ZINDUKA! Wangetuzindua na huu mti ukawa maarufu wangeokoa maisha ya wengi sana kwani siku zote kinga ni bora kuliko tiba!!
Back
Top Bottom