Nimeipenda mada. Imekaa neutral na inakumbusha wanadamu wote pasipo kujali dini zao japokua mifano ilotumika ni ya waislamu sisi wote tunaelekea njia moja
Habari wana JF! Naomba nifahamishwe kuhusu taratibu za kufuata ili kuwa wakala wa Luku. Pia malipo kati ya wakala na Tanesco yapo kwa utaratibu gani. Pamoja na experience mbalimbali za wajasiriamali wanaofanya biashara hii. Natanguliza shukrani
Tairi kupasuka inaweza kuwa mwendo kasi,kiwango cha tairi n.k. Vipi kuhusu basi kuungua moto? Mbona mengine yanapata ajali hayaungui? Naomba wataalam wa magari watusaidie hapa.
Kama ni kweli au uongo tutajua baadae....lakini tunachojua kwa uhakika ni kuwa vyombo vyetu vya habari vingi ni legelege kwenye kutoa taarifa. Yaani ni kama wanaombaga ruhusa kutoa au kutotoa habari. Mfano tukumbuke ilivyokua majuzi kwenye ajali ya boti Unguja...ilichukua masaa mangapi kuanza...
Mkuu umechambua kiukweli kabisa. Tatizo watu wanapenda kukwepa ukweli kuwa speed ndo chanzo kikuu cha ajali. Bado tupo mbali kwenye kuziheshimu sheria za barabara,hizi ajali hazitushtui kabisa. Mi ningeshauri mabadiliko ya hii sheria ya barabara,watu wafungwe tu na adhabu ya faini iwe kwa makosa...
Mkuu akhsante kwa habari njema. Tutautafuta huo mti wa maajabu.
Kwa upande mwingine nawaza hawa watu wa kampeni ya ZINDUKA! Wangetuzindua na huu mti ukawa maarufu wangeokoa maisha ya wengi sana kwani siku zote kinga ni bora kuliko tiba!!
Muanzisha mada amenigusa sana kwa sababu mwanzo niliapa sintonunua filamu za kibongo kwa sababu ya uduni wa ubora wao.
Pia extremism,hakuna kiasi cha wastani..aidha mtu ni tajiri sana au ni masikini sana...Navyojua mimi Watanzania wengi ni maisha ya kati, hata kijijini sio wote ni wa chini...
"As we reported on Tuesday, BoTs procurement system has been so streamlined and made so transparent.."
Hivi ujenzi wa hilo hekalu ulitangazwa au tulisikia magazetini? Hiyo transparency ipo wapi?
This makes us ask where the remaining two thirds, which the bank will now save, used to go before...
Hii ni kali na nzito! Hivi huyo baba mkwe anauhakika gani wa kuishi na kuona hao wajukuu anaong'ang'ania? Ikitokea Mungu amemchukua (God forbid) ataweza kufurahia chochote anachopanga? Kwa nini kuwaingiza malaika hao (watoto) kwenye mikataba wasioijua?
Binafsi nashauri jamaa awe na msimamo na...
Wakuu kabla hatujazihukumu tinted tukumbuke pia zinatofautiana.
Kuna zile tinted "full" yaani vioo vyote hadi cha dereva kinaachwa 1/3 tu! Halafu kuna zile tinted ambazo baadhi ya magari yanakuja nazo zinakua wazi vioo vya mbele na tinted vioo vya nyuma.
Mimi binafsi sioni tatizo na aina ya...
Wakuu heshima mbele!
Ingawa sikumbuki sana kanuni za TANU lakini najua kuna moja inayosema "Cheo ni dhamana....."
Hivi hawa mawaziri wana lebo usoni? Kama wanataka ukubwa wawe na benki yao,hospitali zao,barabara zao,masoko yao,ndege zao........wakiweza na wananchi wao. La kama hawawezi bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.