Dunia hii ni shida Mungu alipotutofautisha kufikiri tu ndo shida ilipoanzia mtu unategemea kupata Msaada mwingine hata mpango hana sehemu kubwa ya watanzania tunakula mihogo hata Kama wewe hujala babu zako wamekula
Wapendwa mnisiadie nahitaji Kulima muhogo maeneo ya Pwani panaitwa Bungu njia panda ya kwenda Nyamisati Kwa wanaofahamu maeneo hayo ikiwa ni pamoja na ardhi yenyewe inafaa au?
Ndo shida ya kuingia kwenye fani bila kuwa na elimu ya kutosha uelewa wao mzigo sana pamoja na mapungufu ya kisheria bado wao ni wachanga sana katika tasnia ya filamu watu wana miaka 800 kwenye filamu wao ndo kwanza hata miaka 10 bado ajabu sana wajipange upya
Kuna kitu akijakaa sawa Mungu adhihakiwi na neno lake linasimama pale pale hata kwa wenye mzaha,ukisha jitoa kumtumikia Mungu ujue kuna gharama si tambarare kama wanavyoimba wengi ama kusema na wala hakuna vifungu vinavyopingana tatizo la wanandoa ni kutomjua wanaemtumikia kwa dhati na kuruhusu...
tatizo ni dogo wametoka kwenye uhalisia wakaiga mambo ya nje watu na wakati hawawezi kulingana na technology ya dunia kwa sasa binafsi mimi hata movie moja ya kibongo sina zimejaa za nje tu zinazousuza moyo wangu sasa movie zetu utafikiri una angalia birthday ya mtu
Siasa zetu bado hasa vijana tunaishi kwa mihemko sana bendera fata upepo hatuwezi kuona na kujua tunaona nini zaidi ya chenga tu hata mfumo wetu wa siasa ni butu sheria butu,katika butu,elimu butu kila kona kuna shida tunahitaji kupata viongozi wanaoyajua hata ili kupata taifa imara kiuchumi
Kama yapo basi Sera na taratibu za chama zimewekwa pembeni ila nachoamini Chadema bado ina hazina kubwa ya wasomi na wenye uzoefu wanayajua hayo tuwaombe wayarekebishe hatutaki 2020 tubahatishe.
Ndugu Watanzania..

Naandika hii thread kwa Uchungu sana..nikiililia Tanzania yangu, nchi yangu, motherland!

Hv Nani aliyekuwa au anafurahia vijana wetu wakitumbukia ktk janga la madawa? Ni Nani huyo ajitokeze na aseme kwenye hii thread.

Hv kwann watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.