Bodi ya ithibati ndio nini?
Hiyo "bodi" ni Kibaraka wa Mwigulu au Mwigulu amewanunua kumfanyia u CHAWA?
Hizo ni sarakasi za kijima za kufunga watu midomo na kukiuka haki ya Kikatiba ya raia kutoa maoni
Yule kamanda wa Polisiccm Musoma ni mbumbumbu🚮. Yeye ndo anajaribu kufanya siasa kwa niaba ya chama chake ccm jambo ambalo ni kinyume na Katiba ya nchi. Kama anapenda siasa aache ajira ya Polisiccm ajikite kwenye chama chake cha siasa.
Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani sio siasa...
Hao wababe wa dunia wakiendelea kuwa nazo hakuna shida. Tabu itaanza magaidi wakizimiliki maana wao hawana subira.
Gaidi anaweza kuamuru nchi nzima ihamie kwenye imani yake na mungu wake, mkibisha anajilipua yeye na nyie wote
Hakuna hoja humu, huoni 99% wanakupinga na spana juu?
Ukiona mtu anaunga mkono huu ujinga ulioleta humu ujue ni mtekaji, muuaji au mchawi (maana mkataa wengi ni mchawi)
Je! Umeua, ukatamalaki? Bwana asema hivi, Mahali pale mbwa walipoiramba damu ya Nabothi, mbwa watairamba na damu yako! | JamiiForums Je! Umeua, ukatamalaki? Bwana asema hivi, Mahali pale mbwa walipoiramba damu ya Nabothi, mbwa watairamba na damu yako!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.