Recent content by mathyum

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mh! Ukiyastaajabu ya Mussa utayaona.....

    Aliacha kazi ili kuja kuiba, unafikiri bila maslahi mazuri angerudi kufanya kazi nchini?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkuu wa Jeshi la Polisi(IGP) nani ana cheo kikubwa?

    Kujua nani mkubwa nendeni mkasome vzr katiba ya nchi inavyoeleza kuhusu hawa watu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kuweka password kwenye sim fikiri kwanza; Yaliyomkuta huyu dada yaweza kuwa matatizo

    Kuna faida na hasara pia ya kuweka password kwenye simu. Madhara nu kama post ya mkuu kama ilivyosemwa na faida mfano umeibiwa simu na mtu akaenda kafanya uhalifu kwa namba yako ya simu. Hapo lazima uone faida ya password
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo sijajua kwanini watanzania walimchagua Magufuli!

    Chadema ndio waliomchagua Magufuli
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Magufuli na Kenya ya Kenyatta ziko katika Vita Baridi?

    Mda utasema na reli itajengwa. Raisi wetu hutekeleza anachoahidi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hatari: Keko ni msitu wa majambazi,wezi na vibaka

    Police wanafahamu kabisa hali ya huko keko maana ni maarufu sana kwa ukabaji na ujambazi. Kinachoonekana ni police kufurahia wanapoona watu wanakabwa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sura za hawa watu hazifanani na kutungua helikopta

    Akili yako ina matatizo,kweli ujuzi unatambuliwa kwa kuangalia sura??????????
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bunge laahirishwa ghafla, yadaiwa Serikali imekiuka taratibu za bunge

    Huwezi kubadili mfumo kwa kuntegemea Lowassa mwana ccm damu toka akiwa kinda
  9. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa vipaumbele vyake kwa wananchi

    Kwani deni la taifa linakua kwa kiwango gani ili tujue kama kweli hicho kiwango cha ukipaji ni kidogo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Mvua kubwa sana inanyesha usiku huu. Ki-baby walker chazama mtaroni kona ya Chama, Tabata

    Wale walioko mabondeni huwa wanakuwa tayari tayari mda wote na ndio maana mvua hata inyeshe namna gani huwezi sikia maafa zaidi ya uharibifu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Eritrea yatoa amri kila mwanaume kuoa wake wawili

    Hahaha, haki za wanawake zinakiukwa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuna watu bado wanaamini kuna mabadiliko chini ya CCM?

    Sasa nani wa kutuletea mabadiliko, hao ccm ndio nafuu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hallotel ovyo sana

    Inawezekana bandle limekwisha, bandle likiisha mara nyingi halotel huwa sms haziingi huku mtandao ukisoma H+
Back
Top Bottom