goggles
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,415
- 2,358
Unafiki wa kiwango cha Phd
Mnafiki ni wewe. Hakuna ubishi kwamba prof mhongo ni mchapakazi
Unafiki wa kiwango cha Phd
Muhongo hakupaswa kufanya kazi nchi hii, alikosea kuacha kazi SA kuja bongo, hapa hata malaika atachafuka tu
Ni kweli kabisa kwa ulichokiandika! Lazima tu utaumbuka.Ukiwa muongo basi unatakiwa uwe na kumbu kumbu nzuri sana, vinginevyo ni lazima UTAUMBUKA TU!
Una uhakika kitilia mkumbo ni mpinzani? Tumia ubongo kufikiri dogo usitumie makamasi.Akiwa Zbar alisema yeye katika serikali yake hataingiza mpinzani kabisa. Ghafla kasahau akamtea Kitila ACT kuwa katibu mkuu wa wizara ya maji
Uko sahihi mkuu.Muhongo hakupaswa kufanya kazi nchi hii, alikosea kuacha kazi SA kuja bongo, hapa hata malaika atachafuka tu
Mnafiki ni wewe. Hakuna ubishi kwamba prof mhongo ni mchapakazi
Ukiwa hujitambui, mara kwa mara utarudia neno/ maneno/ mawazo na fikra hizo hizo - NI LAZIMA UTAITWA BWEGEUkiwa muongo basi unatakiwa uwe na kumbu kumbu nzuri sana, vinginevyo ni lazima UTAUMBUKA TU!
True !Ukiwa muongo basi unatakiwa uwe na kumbu kumbu nzuri sana, vinginevyo ni lazima UTAUMBUKA TU!
Taratibu sana mkuu , haya mambo hayataki papara .Ukiwa hujitambui, mara kwa mara utarudia neno/ maneno/ mawazo na fikra hizo hizo - NI LAZIMA UTAITWA BWEGE
Kama lowassaUkifanya deal na mwana CCM uwe na kichwa cha mwenda wazimu nakwambia.....
Ameongopa nini?Ukiwa muongo basi unatakiwa uwe na kumbu kumbu nzuri sana, vinginevyo ni lazima UTAUMBUKA TU!
Unafiki wa kiwango cha Phd
Awamu hii mambo hayatabiriki!!
Nape alijifanya kunda tume akatumbuliwa, watu wakadai hakuwa na mamlaka hayo!
Professor, kapiga kazi anatumbuliwa, anaulizwa ilikuwaje asiyajue hayo. Sijui anggeyajuaje bila kuunda katume!!?
Wacha vimaneno, weka hojaTaratibu sana mkuu , haya mambo hayataki papara .
Unafiki wa kiwango cha Phd
Unafiki wa kiwango cha Phd
Ripoti ya escrow ilishaonyesha mhongo hafai. Its mhongo againUnafiki uko wapi sasa au bado hufahamu maana ya neno lenyewe? Kwani alipoongea haya ripoti ya jaji Mruma ilikuwa imeahatoka achilia mbali kuundwa hiyo tume?