FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 37,898
- 43,807
Nimepita Kama dakika 20 hivi kwenye hiyo kona iliyo kilimani kuelekea kituo cha Chama Tabata kama unaelekea kimanga na kukuta ki-porte Kama sikosei kikiwa kimeacha njia na kuingia mtaroni.
Visibility ni almost zero na ilibidi nitembee 20km/h kuepuka na mimi nisije nikavagaa mtaro. Jamaa walisave maana niliona wakiwa kwa nje wamevaa boksa Kama waogeleaji wa olympic. Ilibidi nipite tu bila kuwapa msaada maana sikuwa na namna.
Traffic na break down wahini pale kabla hakajasombwa mtoni kale ka Porte.