Recent content by Mathiasyusuph

  1. M

    JamiiForums Tanzania Catherine Ruge na Suzan Kiwanga nao wakamatwa na Jeshi la Polisi

    Hivi hawa porice kazi yao rasmi no IPI? Ifike kipindi hawa porice tuwatie adabu maana. hajasomea hivo wanavyo Fanya Leo na mim mtoto wangu siwezi kumpeleka porice akasome never
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sheha Mpemba Faki, Mbunge mteule wa Konde (CCM) ajiuzulu

    Ukitaka laana ya jumla wewe kuwa mwanachama wa ccm utalaaniwa kizazi chako chote
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike Jeshi la Polisi lianze kutenda haki?

    Hilo sio jeshi nimajambazi tuu walio jificha kwajina la police. Chakufanya ni sisi RAIA kutowaogopa tuu ndio dawa yao tofauti na hapo wataendelea hivi hivi mpaka Yesu aje
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uhuru nini maana yake?

    Kuwa mwoga nako in dalili za kutokuwa huru ila tunaendelea kuwaonya ccm na genge lao haya sio maombi nilazima tuwe guru na watanzania tuamke
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uhuru nini maana yake?

    Uhuru niswara endelevu sio LA mda
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uhuru nini maana yake?

    Mungu alipo iumba dinia na kuwakabidhi Adam na Hawa Mali zote ktk dunia hii ili kuzitunza na kuzitawala. Najambo kubwa zaidi aliwapa Uhuru wa kuchagua jema au baya. Sasa kama Mungu muumbaji alitoa Uhuru wa kuchagua mini ufanye ktk dunia hii inakuaje serikali ya CCM inalazimisha tuikubali ktk...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Raia kuhitaji kibali maalum kwenda migahawani, baa n.k

    Hats hivo hakuna faida ya kuendelea kuishi ktk dunia hii iliyo jaa madhambi wee dunia isha haraka nimechoka kuona magonjwa, ajari na watu wenye roho MBAYA sana. Hili swara LA kutouza wala kununua dalili sake zilianza mwaka 1886 Kule marekani sasa naona linakalubia kuanza tene. Asante Yesu kwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tanesco nao waanza kuwanyoosha wapiga kura. Hivi Rais anayaona haya?

    Lazima wote tilipie garama ya mafuta waliotumia kumsafilisha mboe
  9. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Watanzania kusema CHADEMA imehodhi mapambano ya Katiba yamenifanya nikawaonea huruma watoto

    Ili ujue watanzania wengi ni mapopoma we uliza swari tuu LA mstakabali wa haki ya kira RAIA kuhoji mambo ya kikatiba yanayo takiwa kutekelezwa na kuheshimiwa . Majibu utajayo pewa yanadhilisha umaskini na ufukara wa lishe na kipato vilivyo kidhili ndani ya tz Na ccm na policeccm wanatumia...
  10. M

    JamiiForums Tanzania RPC Kinondoni aliyemwambia Mbowe hachomoki ndiye alimwambia Lema hashindi Arusha

    Hiyo ndiyo njia iliyo baki juu ya hawa ccmb
  11. M

    JamiiForums Tanzania Askari wavamia kanisa Mbeya kuwafuata wafuasi wa CHADEMA

    Hata hivyo katoliki nae ahusika ktk huo ujinga wa ccm
  12. M

    JamiiForums Tanzania Huzuni: Sitatumia tena huduma ya fedha kwenye simu

    Mim walikata zaidii usibishe
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Serikali kwa Shughuli za Michezo na Matamasha ya Muziki kukabiliana na UVIKO

    Wazuie na mikutano ya ccm tofauti na hapo huo ni uharo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Huzuni: Sitatumia tena huduma ya fedha kwenye simu

    Wameongeza 1025
Back
Top Bottom