Recent content by Mathias Lyamunda

  1. M

    JamiiForums Tanzania IMF yaidhinisha mkopo wa Tsh Trilioni 1.2 kwa ajili ya Corona Tanzania

    Hahahahaaa eti za kurecord royal tour
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

    Kurzweil, Acheni kuzamia kwenye nchi za watu mnakaa tu bila vibali!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mtu akipotea, marufuku kuhusisha vyombo vya Dola, utakamatwa na utoe ushahidi

    Kweli kabisa mtu anaenda kujificha kwa mganga wake usalama wa taifa unatuhumiwa! Return Of Undertaker,
  4. M

    JamiiForums Tanzania Zitto atakuwa Rais wa kwanza upinzani 2020

    Hahahahahaha
  5. M

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Tanzania adaiwa kulazimishwa kurejea Brussels

    Hivi watanzania waliowengi wanajua maana kuwa Sovereign State/Country???
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni inatafutwa ambayo ina Power Purchase Agreement (PPA) kuzalisha umeme wa Solar 50-200MW

    Utaratibu ni mzuri tu kwa watu wanaotaka kuwekeza kwenye solar
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni inatafutwa ambayo ina Power Purchase Agreement (PPA) kuzalisha umeme wa Solar 50-200MW

    Kama kuna mtu humu analifahamu kampuni lolote ambalo limeshapata Power Purchase Agreement na Tanesco na linatafuta muwekezaji kwa ajili ya kuzalisha umeme wa solar kuanzia 50-200MW anitafute kwa mawasiliano yafuatayo Email: mathiaslyamunda@femapo.org Mobile: +255765346970 Wapo wawekezaji ambao...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya Sheria: No mention of Tundu Lissu!, Je ni amesahaulika tu kutajwa, amepuuzwa au ameepukwa?!.

    Pascal Mayalla Mkuu Paskali hii ilikuwa ni deliberate omission Hotuba ilihaririwa na kuhakikiwa. Kwahiyo hata msomaji asilaumiwe.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hongera CHADEMA kwa kujitoa, leo uchaguzi unafanyika bila umwagaji wa damu

    Hata pombe za kienyeji wapiga kura hawanyweshwa hahahaaaa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Hoja hufungwa kwa hoja, si kwa kifungo wala mahabusu

    Huyu askofu anania gani na vijana wa Lumumba?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Special thread: Orodha ya Wanyarwanda wanaofanya kazi ofisi za umma

    Wewe ni mmojawapo. Unasababishaje genocide kwa kusimamia sheria ya uhamiaji? Mtoa post amesema tutoe taarifa za wanyarwanda siyo wasukuma au wagogo umeelewa tofauti?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Tukemee wabakaji kusamehewa kiholela

    Pia ikumbukwe Mawakili wa Chadema walishiriki kwa kiwango kikubwa kwenye utetezi wa Kesi hii kwahiyo wanajua kiini cha ndani cha Kesi ndio maana hata Mgombea wetu akawa na ujasiri wa kusema akiwa Rais atafuata taratibu husika kuwayoa gerezani. Siyo kwasababu walikuwa watu maarufu ila ni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Tukemee wabakaji kusamehewa kiholela

    Swala hapa watanzania tuliowengi hatukuuamini hatia ya familia ya Babu Seya. Tuliamini kesi yao ilikuwa ya kubambikiza. Wapo wengi wamekuwa convicted kwa Kesi za kubambikiza, kwahiyo issue siyo kusamehe wabakaji, ni kuwaweka huru watu ambao hawakuwa na hatia ya kosa hilo walilohukumiwa nalo.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mtatiro apewe Jimbo la Kinondoni, tuongeze nguvu ya Upinzani Bungeni

    Katibu mkuu si ndo huwa anatakiwa kuwapitisha wagombea ubunge au kwasasa mtoto mpendwa wa system Lipumba anatumika kuvuruga utaratibu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mtatiro apewe Jimbo la Kinondoni, tuongeze nguvu ya Upinzani Bungeni

    Sasa hiyo itakuwa ni fedheha yake mkuu, tutaendelea kusonga mbele tu
Back
Top Bottom